Mawaziri watakaotoswa na JK kuasi chama

Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawaziri watakaotoswa na JK kwa kupigwa chini watafanya uasi ktk chama...wanadai wako tayari kuanzisha vyama vipya..wengine wafikiria kujiunga CHADEMA.Wanadai wametolewa kafala wakati wameshirikiana na baadhi ya vigogo.
.........kwa hiyo wanataka waende chadema wakashirikiane nako pia? JK wakati wanafikiria kukuasi waasi wao kabla!!!!!! au wakaunde chama chao jela..... wasitugeuze watz mafala wakati wao wamevimbiwa.
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawaziri watakaotoswa na JK kwa kupigwa chini watafanya uasi ktk chama...wanadai wako tayari kuanzisha vyama vipya..wengine wafikiria kujiunga CHADEMA.Wanadai wametolewa kafala wakati wameshirikiana na baadhi ya vigogo.

Hiyo kama nikweli mkuu basi mpichi na mbovu itajulikana tukiwaburuza mahakamani na kubata mbinyo mkali, kama Kuwafukuza nyazifa zao na kuhama na mamilion hio haitoshi kutibu marazi yaloikumba Tanzania kwa miaka mingi kuwa nchi maskini lakini viongozi matajiri.

Kama Kikwete(Pinda) aliwatuma basi watakuwa na uhuru wakueleza waliokula nao pamoja matumaini ya Watanzania ni kupanda kwenye kiriri hawa ili kujisafisha au kwenda kunya ndoni.
 
Kwa nini waasi? Watapata ubalozi, uenyekiti wa su.
Lisilowezekana Rwanda. TZ linawezekana.
 
Kama MAIGE Alivyokamatwa kwenye ile hotel na dola laki 6 na watu wa usalama ..si alijitetea kuwa ni Zao na mzee?no wonder
 
naomba msaada ndugu: (kwa yeyote atakayesoma) nifanye nini ili niweze kuanzisha thread katika jamii forum? shukrani kwa yeyote atakayetoa msaada. waweza kunisaidia kupitia adress yangu ya jamii forum, au mligojohnbosco@yahoo.com au face book: John Bosco Mligo.
 
Tatizo letu watanzani ni kelele tu hatuna utekelezaji na isitoshe tumeshajijengea nidhamu ya uonga kwa wenzetu mambo kama haya wangesha toa tamka kama raia na serekali ingeshafanyia kazi ila kwa kuwa sisi ni mapoyoyo no way
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawaziri watakaotoswa na JK kwa kupigwa chini watafanya uasi ktk chama...wanadai wako tayari kuanzisha vyama vipya..wengine wafikiria kujiunga CHADEMA.Wanadai wametolewa kafala wakati wameshirikiana na baadhi ya vigogo.

wajiunge na vyama vingine?? hizo billions zote walizoiba si bora wazitumie kwa miradi ya maendeleo
 
Kutochangia juu ya kiitwacho 'tetesi' ni kuchangia juu ya ubora wa rai inayowasilishwa:smile-big:
 
w
6.jpg

waanzishe chama chao wasije kuharibu nguvu ya chadema
hata hivo ubunge mtamu sio rahisi kuachia

Hao vijana walioshika bango inabidi wakapimwe akili, usikute ni vichaa, kwa sababu ccm hamna mtu msafi hata mmoja.
 
wanatakiwa Gerezani na walasikujiunga na vyama vyovyote maana wametuibia sana mali zetu
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawaziri watakaotoswa na JK kwa kupigwa chini watafanya uasi ktk chama...wanadai wako tayari kuanzisha vyama vipya..wengine wafikiria kujiunga CHADEMA.Wanadai wametolewa kafala wakati wameshirikiana na baadhi ya vigogo.

wawataje,kigogo zaid ya waziri ni Rais,VP NA PM,
 
Back
Top Bottom