Mawaziri Wasukuma

Hata huyo Ngeleja ana uadilifu gani? angekuwa muadilifu hasingeweza ku-push malipo ya DOWANS kama vile ana hisa ndani yake. Who knows, huenda bosi wake huyo RA alishampa kitu kidogo ili alazimishe malipo hata bila ya maridhio ya baraza la mawaziri.
 

Ha ha ha ha
Acheni zenu hizo zenu, mbona hamumutaji mama Anna, Mramba nk.

Ngoja niwaambie kitu, mtu aliye nafikira ya umimi, ya ukwetu hatufai ktk uongonzi wa nchi. Fanyeni uchunguzi kiongozi mwadilifu huwa hayaangalii maendeleo kwa miwani ya mbao.

Kwa hiyo Nyerere naye ? ulishafika musoma wewe? ktk waadilifu wasukuma ni wa moja wao. Mtu mwema ni vigumu kuendelea ila jambazi kwake ni rahisi kuendelea kwasababu THEY DON'T CARE.
 
Imekaaje hii JK (Mkwere) Kufungua shule ya msingi kwenye kijiji chake iliyojegwa kwa bakuli la msaada toka China, Ujinga mtupu.
 
tatizo pia ni kwa sisi wananchi......we sukumas dont question

Hili ndilo nililotaka kugusia, asante sana. Nafikiri hisia za kifalme usukumani ni kali sana. Mtu akishakuwa na cheo kikubwa mnamwabudu hata kumkaribia ni shida ndipo anapojisahau! Na pia kukumbatia na kuabudu CCM. Angalia watu huko Rombo wamempiga chini Maramba lakini mpaka leo na makashfa yote na kesi za kuua bado Chenge anaonekana malaika Usukumani. Siyo shida kwa wasukuma tu ni taabu kwa Taifa zima kurudisha mtu mwenye sifa mbaya kiasi kile Bungeni.
 
Kwani fisadi Ana Mkapa alikuwa Waziri? angalia kichwa cha habari cha hoja inayozungumziwa mkuu!
 
..kuna wakati Waziri wa Sheria, Mwanasheria Mkuu, Katibu Mkuu wizara ya Sheria, na pamoja na Jaji Mkuu, wote walikuwa watu wa kanda ya Usukumani/Nyamwezi. je, huo ulikuwa ni UKABILA au UPENDELEO?

..ninavyoelewa mimi wabunge wa Usukumani na Unyamwezini ni matajiri wakubwa. pia kanda hiyo ina matajiri[viwanda vya samaki, wanunuzi wa pamba] wengi ambao hawachangii maendeleo ya kanda yao.
 
Si mawaziri wasukuma tu ambao wamesahau majimbo yao, makabila mengine vivyo hivyo. Kagera ni katika mkumbo huo huo! Barabara, maji, shule, na huduma za usafiri kwa ujumla wake ni duni. Unaweza kuongezea makabila kama......!
Tukumbuke kuwa majimbo kiutendaji yapo kwenye wilaya na mikoa -ambayo yana HALIMASHAURI, na WAKURUGENZI. Bila kusahau wakuu wa mikoa/ wilaya.

Kupitia Katiba mpya tuwe na uwezo wa kuchagua Wakuu wa mikoa/ wilaya ambao wataondolewa wakati wowote kwa kura ya maoni kama utendaji wao utakuwa mbovu. Kwa sasa hivi hawa watu wanaletwa wilayani/ mikoani kula nchi tu. Wengi wamepewa "zawadi" wapo wapo tu hili mradi ni "wenzetu" ugonjwa wa chama tawala ambao unaitafuna nchi yetu.
 
kuna mdada moja wa kili, yeye aliwahi niambia watu wa kili wanawapenda wasukuma kwa sababu ni wa pole na wanawafurahisha saana watu wa kili wakienda kuhesabiwa (christmas) enzi zile wasukuma walio oa huko watakwenda na maredio ya makubwa ku-impress wakwe na mashemeji, wakati kwao nyumba ni za udongo, na nime ona kwenye thread ya ppf bwana chenge alivyo msaidia shemeji kazi huko na kuna wengine pia walio wekeza huko. sasa kwa hali kama hiyo mnatarajia maendeleo kweli.
 
Mwaka 2015 inabidi waangaliwe upya hawa! wamezubaa sana aisee
 
jamani sio hao tu,huko nachingwea lindi kwa waziri chikawe kunatia aibu...yaani,kuanzia kipindi cha majogo hadi leo jimbo hata umeme wa uhakika hakuna na pia barabara ndo inatia aibu maana lami inaishia masasi na iliwekwa zaidi ya miaka kumi iliyopita!
 
Sisi wasukuma ni maboya sana!
Nina kaka yangu tumbo moja,baba mmoja ni DED wa halimashauri hapa tz,nimemaliza chuo nikaenda kwake,nikamwambia anipe mchongo nipate kazi!

Aliniambia hawezi nisaidia Kama siwezi kukaa kwake nirudi bushi,nikasubilie job huko!!!

Vile vile nina kaka yangu wa pili kuzaliwa ni mwanasheria mkubwa tz,kasoma darasa moja na Ngereja,Tundu,na Feleshi! Nilimwambia anisaidi kupata kazi maana vigezo ninavyo,but jamaa alikua ananipa sifa za darasa lao,kazi ananipeleka kwa kina Mo Dewji!
Jaman huko pakumpeleka Graduate kweli??

Nyama,beer na hela za kuhonga malaya jorry club anakupa,sasa hapo anakusaidia au anakupa ulemavu wa ubongo??
Mpaka nilitoka kwake mwaka mmoja sikua hata na godolo!
But sasa hv tunaheshimiana mini!!
 
Mimi ni msukuma but sina hamu na hili kabila!

Kwanza tunapenda sana ngono,tupo radhi kukataa kumlipia Ada mdogo wako,but ukahonga malaya return tickets from dsm to mwanza to dsm!
Unamnunulia malaya harrier,hiace na daladala wakati mdogo wako yuko chuo Ada ya mwaka laki 9 pale Saut unakataa kumlipia??

Halafu mungu wa ajabu Sana, Najua hapa wataalam mnaelewa namaanisha nini
 

Si ndio maana ni favourite spouse wa chagga ladies.
 

Mimi Mnyamwezi Hakuna Kabila Mungu Kalilaani Hapa Duniani Kama Kabila Letu, Hawapendani,hawasaidiani,tena Umkute Yupo Ofisi Hapa Dar Utakufa Na Shida Zako,
 
Kama una maanisha Gideon Cheyo aliyekuwa waziri wa ardhi... Huyu si msukuma.
Ni mndali na alikuwa mbunge wa Ileje, Mbeya.
mmmh Mndali mmmh!

Pius Ng'wandu kasahaulika pole zake kwanza kwa kufiwa na Mke wake.....
 
Na Dr Magufuli sio msukuma.
Ni Mnyambo wa Chato.

Basi huo unyambo una usukuma ndani yake.... manake jamaa hilo jina tu lina maana yake kisukuma... na jamaa anakibonga balaa kisukuma
 
Hivi huwa najiuliza kwa nini mawaziri wasukuma wanakuwa waadilifu kwenye kazi zao

Hivi yule Andrew Chenge, Mzee wa Vijisenti, ni kabila gani vile? last time I checked alikuwa Msukuma.
 
umesahau mkuu pia tuna sifa ya kunyanyapaa hata kuua maalbino pia!

Hiyo kazi huwa inafanywa na watu kutoka Mbeya, jaribu kufuatilia wale waliokamatwa kwa kesi hizo.Kazi yetu ni kuchunga ng'ombe,kulima, KUPENDWA na KUPENDANA.
 

Kwa kuhonga utadhani wanalipa deni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…