Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Welcome to the 21st century:
Phones-wireless.
Cooking-fireless.
Cars-keyless.
Food-fatless.
Youth-jobless.
Leaders-shameless.
Relationships-meaningless.Attitude-careless.
Feelings-heartless.
Education-valueless.
Am just speechless.
Everything has become LESS but still our hopes are endless!! good 9tless.

God bless
 
Majina tafadhali mkuu natamani Ngeleja pia awemo

Mkullo, Mponda,Nundu na Chami.
Ngeleja yule hatokuja kujiuzulu hadi wazirimkuu naye awajibishwe..yule ni mbishi kama busha ..mtu gani yule hata hafai kwenye jamii utafikiri kazaliwa ili awe waziri au utafikiri akijiuzulu atakufa hapo hapo
 
Wanatakiwa wafukuzwe kazi kama mbwa!
Kuwaacha wajiuzulu ni kuwapa heshima
 
itaingia katika Gueness book kwa kweli maana kwa tanganyika na sasa taaanzania aijawai kutokea kitu kama iyo..................!
 
Tena huyo Mponda amechelewa tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom