Mawaziri wamepooooza bungeni leo!

Mawaziri wamepooooza bungeni leo!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,634
Reaction score
1,657
Yaani kila akitokea naibu waziri au waziri ukimuangalia amepooooza...mpaka basi. sasa tusubiri PM atasema nini...
 
Naomba utujuze mkuu nini kinaendelea huko bungeni sie wengine tuko mbali
 
Kama mawaziri wamepooza basi si muda mrefu pm atalia kama kawaida yake!!!
 
sasa ivi ni kipindi cha maswali na majibu lakini kila ukimuona waziri akijibu swali unakuta amepooooza mpaka basi...naamini ni kwa sababu ya zile kura70 za zitto...
 
tulishamzoea...leo akiangua kilio tutazidi kumshindilia il alie zaidi...ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni!!
Kama mawaziri wamepooza basi si muda mrefu pm atalia kama kawaida yake!!!
 
Baraza linavunjwa,
nani kurudi nani kuingia ndo kitendawili
 
mtoto wa mkulima yupo bungeni????
 
Hawajapata "supu."

.
Walahi leo supu haitaenda tumboni zaidi ya kupanda kichwani. Na kama ikishuka tumboni itakuwa ni kupita tu kwani tumbo la kuharisha ni hapo hapo. Usicheze na kitu uongozi ni dhamana. Nakuhakikishia kuna mawaziri walikuwa na mawazo ya kuishi wao na familia zao katika miji mikubwa ya nchi zilizoendelea tena kwenye nyumba walizonunua. Lakini kwa sasa kuna mtazimo tofauti katika mawazo yao. Wanawazia kati ya kijijini walikozaliwa na tandale kwenye nyumba ya kupanga ni wapi patakuwa bora kwake kuishi.
.
 
Mawaziri wamekuwa wapigaji na deal kibao kama kina papaa msofe. Mi wala siwaonei huruma maana walio wengi hawaitakii nchi yetu mema hata kidogo.
 
wanajitahidi kutafuta ujasiri ila wanashindwa...kazi ipo kwelikweli...
 
.
Walahi leo supu haitaenda tumboni zaidi ya kupanda kichwani. Na kama ikishuka tumboni itakuwa ni kupita tu kwani tumbo la kuharisha ni hapo hapo. Usicheze na kitu uongozi ni dhamana. Nakuhakikishia kuna mawaziri walikuwa na mawazo ya kuishi wao na familia zao katika miji mikubwa ya nchi zilizoendelea tena kwenye nyumba walizonunua. Lakini kwa sasa kuna mtazimo tofauti katika mawazo yao. Wanawazia kati ya kijijini walikozaliwa na tandale kwenye nyumba ya kupanga ni wapi patakuwa bora kwake kuishi.
.

Ha ha ha haaaa...! Kaz wanayo!
 
Tafadhari mwenye link ya bunge atupatie ili na wengine tusikilize.
 
wana jf uzushi hamuachi. nani kakwambia baraza la mawaziri linavunjwa? majungu tu. nani atakayevunja. huyuhuyu ninayemjua. hapa tunavuta muda kijanja alafu tunaondoka kimyakimya. hakuna kuvunja baraza, hakuna kujiuzuru, hakuna kauli ya PM bungeni wala hakuna kusikiliza hoja ya zito wenu kwakuwa it is invalid. hamtujuiiiiii siye?
 
we kijana au mzee?mbona ckuelewi?
 
tumsubiri alie kama kawaida yake maana ameshakuwa msanii wa filamu
 
Naibu waziri OWM Aggrey Mwanri kachangamka sana tofauti na mawaziri wengi utadhani wamemwagiwa tindikali.
 
Back
Top Bottom