Mawaziri wamepooooza bungeni leo!

Zito kasemaaa, makinda wenu akikataa tutawapelekea hoja wananchi, hivi huelewi nini?:a s 41:
 
Hahaaah yani vitambi ingekuwa mimba wiki hii tungepaata miscarages nyingi sana
za manaibu waziri maana wao wako km mke wa pili bimkuwa akitishiwa talaka yye tumbo
pia joto, huraaaah wakome kuwa magamba
 
Back
Top Bottom