mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 892
- 1,709
Kwanza sikuona sababu ya Rais kwenda kutoa amri ya kuwataka mawaziri hawa warudishe hizi fomu hadharani...kitendo cha wao kutokutii na kutekeleza wajibu huu ni kielelezo tosha kua kila kitu watasubiri wasukumwe na kupewa deadline kutoka kwa mkubwa wao kama mpaka wanapewa uwaziri hawaelewi kufanya kazi bila shuruti basi nafikiri kwa upande wetu hawatufai.
Mh. waziri mkuu hukua na sababu kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kuwabeg warudishe hizo fomu kwanza wachunguzwe ukweli wa hizo fomu walizojaza kisha watolewe katika hizo nafasi zao wawekwe viongozi walio tayari kufanya kazi na kasi iliyopo.