Mawaziri waghushi vyeti

Serikali ya kifisadi inatetea watenda maovu yote wakiwemo wakupuaji wa mabilioni ya walipa kodi wa Tanzania na hata waliogushi vyeti vya elimu yao. Watanyamaza kimya kama hawajui au kusikia juu ya kashfa hii nzito.
Mahanga yupo CDM sasa.
 
Siyo
Dr Nchimbi E
Dr Matayo David Matayo
Dr Mary Nagu
Dr Makongoro Mahanga
Dr Kamala D

Mbona wapo wengi is more than 4 waliofichwa majina hapo!!

hao siyo kweli miongoni mwao tunawajua wapi wamesomea PDH zao.andikeni mambo ya ukweli msiwachafue watu kwa chuki binafsi.
 
Umekuwa mjinga siku nyingi bosi wangu
 
Ni mwenyekiti wa Chama kipi alizungusha sifuri a.k.a yai matokeo ya kids to cha sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…