Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Hawa walianza kwa mbwembwe sana. Mawaziri wa CCM wa awamu hii. mmoja bwana Kigwangala alipoteuliwa tu alikimbia haraka sana kwenda kumtia matatani dr. Mwaka. haijajulikana hasa tatizo lao lilikuwa ni nini ila nahisi walikuwa na beef maana naona bado matangazo ya Dr. Mwaka yakirushwa hewani. Siku iliyofuatia tulimwona waziri huyo akifunga geti kwa watumishi waliochelewa wizarani kana kwamba hilo ndio lilikuwa tatizo kuuuuubwa sana wizara ya afya. Maskini baada ya hapo akaishiwa pumzi. sijamsikia tena.
Huyu kijana alipenda kujitanabaisha kana kwamba ana uwezo ambao mimi binafsi sikuwahi kuuona akiwa ameandamwa na kashfa nying ikiwepo ya ku cheat kwenye matokeo yake huko nyuma. Alituangusha toka akiwa naibu waziri wizara ya sayansi na teknolojia. Hakuwa amefanya lolote la maana, ameteuliwa kwa nafsi hii mpya yeye ni kama mtu aliyekata tamaa, sijajua kwa nini. Sijajua nini kilimkatisha tamaa mapema hivi. Inaonekana alikuwa na matumaini makubwa akaambulia asilimia chache ya matumaini yake yeye aliishiwa pumzi mapema.
Huyu mwingine aliwika ile wizara ya Fedha akishirikiana na watu ambao wamekuja kuonekanani majipu. Unajiuliza yeye kweli hakuwa jipu? Alipenda kujitanabaisha kana kwamba yeye ni mtanzania mzalendo kwa maneno na mavazi ingawa kimatendo sijawahi kuwa na uhakika. Naye katika wizara yake sijaona jipya. Inaonekana pumzi zimebana,zimeisha sijui.
Mtu pekee ambaye inaonekana alitunza pumzi zake vizuri alikuwa ni Majaliwa. Huyu mzee bado anaonekana ana pumzi; Nape pumzi zake pia zimebana, isipokuwa kinachombeba ni kuwa anahusika na wizara yenye kumweka mweka hewani kila mara ila kiuhalisia hakuna jipya alilolifanya.
Inaonekana mawaziri wengi hawana mambo mapya, wanaendelea na business as usual.
Je, wameishiwa pumzi,pumzi zimebana au wamekata pumzi?
Tunahitaj watu ambao watakuja na mawazo mapya ya kuikwamua nchi hii toka hapa ilipo.ikishindikana waajiriwe mawaziri toka nje ya nchi ikiwa ndani ya CCM wamekosekana wabunifu kabisa.
Au pengine tuwe na utaratibu wa mawaziri kuwa wanaajiriwa kwa kufanyiwa interview,na pia isiwe lazima mawaziri kuwa ni wabunge. Hawa wawe wafanyakazi kama wengine tu sehemu za kazi ili waje watu wenye ubunifu mkubwa katika wizara zao kutuepushia tabia ya business as usual.