Mawaziri na watendaji wote fanyeni kazi kwa bidii na maarifa

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,142
7,716
Hakuna heshima kubwa hapa duniani kama kuteuliwa na Mhe.Rais katika nafasi yoyote ile, ila inasikitisha sana pale mteule wa Rais anapo kuwa mvivu, anakula mshahara Bure bila kupiga kazi.

Kwa kweli wapo baadhi ya mawaziri tunawaona kweli wanapiga kazi kwa bidii na maarifa ya hali ya juu lakini pia wapo qmbao kwakweli tunawaona wanazuga tu hakuna cha maana wanacho kifanya.

Kwakweli baadi ya wizara wanapiga sana kazi kwa bidii na maarifa mfano: Fedha, kilimo, Elimu, afya, habari, viwanda, nishati, madini, ujenzi, maliasili, mazingira, maji.

Kwakweli huwa sielewi wizara ya Simbachaweni, Jenista na mkuchika huwa zinajishughulisha na nini haswa!!!

Kuna baadhi ya wizara watendaji wake ni kama vile wanazuga tu, kila Mara tukiwasikia kwenye vyombo vya habari wanazungumza mambo yasiyo na tija kabisaaa yaani wanazuga ili mradi tu waonekane wapo lakini ukifuatilia wanacho kisema hakina maana yoyote.

Wakati mwengine tutawataja mawaziri ambao wapo wapo tu wanazuga, hawana jambo la maana wanalo lifanya zaidi ya kuzuga.

Sisi kama wananchi tuna macho tunawaona.
 
Ni uongo, wizara inayofanya kazi na unaona kabisa ni Maji - juma aweso,
 
Ni heshima ukiteuliwa na raisi mwenye kujiweza mwenye maamuzi thabiti mwenye kujua wananchi wanataka nini na akatekeleza ukipata teuzi kwa rais kama huyo ni heshima ila ukipata teuzi za hawa wa kwetu pangu pakavu unainekana zumbukuku kama.
 
R *s kisilani kisilani kutwa michambo
Ni heshima ukiteuliwa na raisi mwenye kujiweza mwenye maamuzi thabiti mwenye kujua wananchi wanataka nini na akatekeleza ukipata teuzi kwa rais kama huyo ni heshima ila ukipata teuzi za hawa wa kwetu pangu pakavu unainekana zumbukuku kama .........
 
Back
Top Bottom