Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,512
- 272,213
Wanakuwaje kama sisi wengine ikiwa waziri ni lazime awe mbunge?
Suala la watu kutenguliwa naona wengi hufurahi na kuona kama aliyetenguliwa anaenda kuwa maskini. Mtu kama makamba kwa utajiri alionao hata ukimtengua ataweza vipi kufanana na sisi wengine?
Yeah. Ni matusi. Ndio maana nasema ivi Kafulila na Kitila ni wapumbaf!Na kabla hawajawa wabunge au mawaziri walikuaje kwani😃😃
Au wao kuwa kama sisi ni matusi😂😂😂
Tunasafisha Sukuma Gang polepole ili tusilete mtafaruku kwenye chama...Siku hii hawatumbiliwi papo kwa papo hadharani kwa kuambiwa makosa yao, bali ni mwendo wa kuteua na kutengua tu. Katika mwaka mmoja serikali hii imeteua na kutengua kuliko serikali zote zilizowahi kutokea nchi hii.
Hivi Raiamwema hawapo mtandaoni siku hizi?Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .
Nitaendelea kumkubari rais ikiwa ataniondolea huyu waziri anayeitwa mwiguruHii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .
Uh - Oh. Sikujua wewe upo huko!Nikikosa uteuzi safari hii nahama chama.
Raia Mwema linaaminika kweli? Hii heading ni kutafuta kuuza gazeti, sidhani kama ni kweliHii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .
January Makamba aka Kigogo aka Mandonga hasalimikiHii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .