mimi sioni cha kupongeza nakushangaeni nyinyi mnopongeza zinaa sasa limekuwa sio bunge tena mambo ya mapenzi sijasikia mimi duniani mbunge kujisifia ngono lakini kama ujuavyo muhuni utamjua tu kumbe wale wabunge hufu kwa ngoma wakajitia kujisingizia maradhi ya moyo kwa hali hiyo nchi itafika na huo muungano naona utadum znz ntanganyika