Mawaziri 5 bora 2016

Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.

Mawaziri:

1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako

RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu

Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
mwigulu nchemba na prof mbalawa ndio watu ninaowaaminiia sana wanafanya kazi kwa moyo na kwa uwazi. sio wanafiki. ndalichako simwelewi, siamini kama haburuzwi. ummy sioni anachokifanya tangu awepo kipindi cha kikwete sijawahi kumkubali, labda kigwangala ndio bora kuliko hata ummy. nappe simpendi tangu amtukane lowasa na kashfa zake kipindi mwenezi ccm, hajajisafisha kwangu nikimwona kwenye tv huwa nabadilisha channel.
 
^66

PM Majaliwa hana maamuzi anafanya kupelekeshwa na JPM kwa ziara za kushtukiza tokana na umbeya na unafiki!
Mfano mzuri ni ziara mkoani Arusha hivi karibuni. PM mzima anakomaa kutaka apelekewe sijui pembe za
faru John, mara vinasaba(DNA) mara alipozikwa ili iweje?Wakti huohuo kuna Watz wanane(8) wamekufa au kupotea katika mazingira ya kutatanisha llakn Majaliwa yuko kimya anagawa bodabodavArusha mjini ATI KUMMALIZA GODBLESS LEMA! Kama Majaliwa ni mwanamme kwanini unapigana na mtu uliyemfunga mikono????
Unafanya Kazi Maliasili Nini ?

Inaonekana Kama Maslahi Yako Yameguswa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom