Mawaziri 5 bora 2016

Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.

Mawaziri:

1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako

RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu

Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
Ondoa ndalichako

Futa gambo
Usimgusie makonder ni uchafu
 
Tupe vigezo vya kitaalamu ulivyitumia kuwataja. Make kwa mtizamo wangu umehusisha kuonekana kwenye media zaidi.
 
Mawaziri
1. William Lukuvi
2. Prof Makame Mbarawa
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof Joyce Ndalichako
Nimekukubali aise Lukuvi anafanya kazi sana aise
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Pia prof mbarawa anapiga mzigo sana
Hizo nafasi mbili nakupa tano Mkuu
 
Awamu hii mawaziri hawana majukumu yoyote ya kitaifa. Wapobuzy na kazi za kichama
 
Waziri:

1.William Lukuvi
2.Makame Mbarawa

Naibu waziri:

1. Suleiman Jaffo
2. Luhaga Mpina

RCs

1. Paulo Makonda
2.Mrisho Gambo

DCs:

1. Bwana Richard Kasesera

2.Humphrey Polepole
 
Waziri:

1.William Lukuvi
2.Makame Mbarawa

Naibu waziri:

1. Suleiman Jaffo
2. Luhaga Mpina

RCs

1. Paulo Makonda
2.Mrisho Gambo

DCs:

1. Bwana Richard Kasesera

2.Humphrey Polepole
Polepole sio DC rekebisha hapo
 
Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.

Mawaziri:

1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako

RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu

Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
1.Angela Kairuki sababu amepambana na kuondoa kwenye pay roll watumishi hewa 19,5000. Ameokoa Fedha za Serikali.
2. Prof. Ndalichako Sababu ameweza kuondoa mfumo wa mitihani ya Taifa Matokeo ya GPA na kurudisha mfumo wa zamani ambao wanafunzi wanapimwa na kupata wanachostahili badala ya kupunguza eti B inaanzia 55 noooo. Sasa B inaanzia 65. Vijana wanajipinda kupata.

3. William Lukuvi sababu amewezataifisha mashamba makubwa yaliyokuwa yanamilikiwa bila tija kwa wananchi wanayoyazunguka. Bado ana kazi ya kuondoa mapigano ya Wakulima na wafugaji.
4. Nape Moses Nnauye sababu ameweza kusimamia mchakato wa utungaji hadi upitishaji wa SHERIA ya Huduma za Habari ambayo imetumia miaka 20 tangu mchakato wake uanze. Inaweza kuwa na mapungufu lakini bora imetungwa na kusainiwa na Rais. Mapungufu yatarekebishwa Kadri inapoonekana inafaa.
5. Simuoni mwingine aliyefanya cha ajabu 2016 labda Mh. Magufuli kwa kunyoosha wezi na mafisadi, wababaishaji na wapiga deal.
 
Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.

Mawaziri:

1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako

RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu

Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
mkuu umemsahau Jordan Rugimbana lol..
 
Vigezo gan ulivyotumia? Isije ikawa kuonekana mara nyingi ktk tv we ukadhan ndo utendaji. Kuna madc wapo wilaya hazina hata mwandishi wa habar.
 
Mawaziri
1. William Lukuvi
2. Prof Makame Mbarawa
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof Joyce Ndalichako
Orodha yako nimeikubali. Muongeze Hussein Mwinyi na utakuwa umenisemea nami pia.

Kwangu Mbarawa namuona anashika namba 1. Wengine wanafuatia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom