Mawazilri waliopita wizara ya ardhi toka 1959

njugilo

Member
Feb 8, 2010
58
26
Nani anaweza toa mafanikio au changamoto za mawaziri hao ?

Lukuvi - (2014 - To date)

Prof. Anna Tibaijuka
- (2010 - 2014)
Capt. John Z. Chiligati - (2008 - 2010)
John Pombe Magufuli - (2006 - 2008)
Gideo Asimulike Cheyo - (1995 - 2005)
Edward Ngoyai Lowassa - (1993 - 1995)
Marcel Bujiku Komanya - (1990 - 1993)
Arcado Denis Ntagazwa - (1987 - 1990)
Getrude I. Mongela - (1987 - 1987)
Pius Y. Ngw’andu - (1985 - 1987)
Paul Bomani - (1984 - 1985)
Thabitha Siwale - (1983 - 1984)
Mustapha S. Nyang’anyi - (1980 - 1983)
Alphonce Rulegura - (1980 - 1980)
Thabitha Siwale - (1975 – 1979)
Mageni M. Musobi - (1972 - 1975)
John A. Mhavile - (1970 - 1972)
Johnson W. Kihampa - (1969 - 1970)
Abdulrahman Mohamed Babu - (1967 - 1968)
Said Abdallah Maswanya - (1965 - 1967)
Lawi Nangwanda Sijaona - (1964 - 1965)
Tewa Said Tewa - (1961 - 1964)
Abdallah Said Fundikira - (1959 - 1961)
 
Nimelipenda hilo jina la NANGWANDA SIJAONA........... Huu uwanja wa taifa kuliko kuitwa wa mkapa bora ungeitwa NANGWANDA SIJAONA hakuna kima angetoka mzima..... sasa jina la uwanja ni la lodilofa sasa hakuna chenye kinaendelea ni ulofa tu....
 
Back
Top Bottom