Mawasiliano ya mwanamke wangu siyaelewi

Mawasiliano ya mwanamke wangu siyaelewi

Wakuu no reform no....

Mwanamke wangu simuelewi kuna namba mbili tofauti anawasiliana nazo moja ameisave kbs jina la kiume na kwa jns nlivyofanikiwa kusoma sms anazotumiana na huyo bwana nimegundua ni wa huku tulipo na mwanamke wng huku hana ndugu kabisi, mi nyumban natoka asubuhi sina narudi usku kuanzia saa 4 usku

Mmoja nliamua kucheck simu ya huyu mwanamke nikakuta muda mwang anachat na huyo bwana mpaka wanapeana ahadi za kuonana mbaya zaid mwanamke huyu ni kama vile ndiye anamuanza anamuuliza uko wapi mara amuamshe hatari zaidi sms zingne ni za usiku muda ambao nakuwa sijarud home sjaamua kumuuliza hilo nimeamua ku calm down nimpeleleze mdogo mdogo kwa kificho sina akiwa hajui kwamba huwa naptia simu yake maana nlishamzoeza kwamba sigusagi simu yake,jana tu wakati nakula usku ye alienda lala nlipoenda lala nikakuta kasnzia kajsahau akiwa anachat na huyo bwana na text ya mwsho alimtakia usku mwema. Wakuu mnaonaje nivute subra huku napeleleza au nkichafue as soon as possible na huu mkoa tuliopo ni una ukimwi ni kama maji.
Huyo sio wako, timua huyo kahaba haraka sana kabla hajaja kukupiga na kitu kizito sana. Fanya hivyo sasa hivi kaka
 
Nenda kwenye simu yake akiwa hajui, nenda kwenye izo namba uziedit bila kubadili jina alilosave Kisha zile original ziblock, hapo atakuwa na jina sahihi za hao watu wawili uliosema ila namba tofauti, na weka ss zako asizojua hapo atanza kuchati na ww bila kujua,anachati na ww km kawaida na utaanza na ww kuekti kutokana na anavyokuchatisha na kubaini mengi!
Mbinu
 
Asante kwa kutushtua kabla sijatuma sms nitakagua namba
 
Jaribu mkuu km umenielewa ujue mara nyingi tunavyo save namba za watu Kwa majina huwa hatuzingatii Tena namba we ukiona jina tu unaanza kutuma msg au kupiga, na uzuri kule utakuwa umeblock zao ndani ya siku 2 tu utabaini jambo!
Unajichosha tu labda wawe hawawasiliani sasa akipigiwa Simu si lazima litokee hilo jina la mchepuko na atashangaa imekuaje namba ya mumewe iseviwe hivyo labda abadilishe au asajili namba kwaajili ya hilo jambo
 
We zubaa aje aseme umemuambukiza wewe, wake za watu ndio zao hizo siku hizi hawaogopi hata kutumia simu nyakati za usiku na wanajua kufosi balaa.

Kuna muda ukijiuliza amezimika na nini hata uelewi maana hata pesa humpi na huna ila basi tu sijui huwa wana mapepo? Enewei mke wa mtu sumu
Mme wa mtu maziwa
 
Unajichosha tu labda wawe hawawasiliani sasa akipigiwa Simu si lazima litokee hilo jina la mchepuko na atashangaa imekuaje namba ya mumewe iseviwe hivyo labda abadilishe au asajili namba kwaajili ya hilo jambo
Ndo nilikuwa namaanisha hivyo yaani awe na namba nyingine kbs yenye usajili Mwingine kbs! Wakati ameiblock Ile namba ya mchepuko!
 
😂😂😂😂Mkuu wengi wameshajaa sn Kwa stail hii, unatuma msg tu Kwa kuwa umeona jina!
Halafu huwaga na machale sana sihifadhi sms wala calls halafu si block kuna namna nafanya hawezi nipata na sms haifikii 😂😂😂
 
Njegeka za ndoa ktk 1 na 2. Lol
Poleee sanaaa.
 
Pole Sana , utapata pressure na kisukari bure kikubwa mwambie a play safe
 
Wakuu no reform no....

Mwanamke wangu simuelewi kuna namba mbili tofauti anawasiliana nazo moja ameisave kbs jina la kiume na kwa jns nlivyofanikiwa kusoma sms anazotumiana na huyo bwana nimegundua ni wa huku tulipo na mwanamke wng huku hana ndugu kabisi, mi nyumban natoka asubuhi sina narudi usku kuanzia saa 4 usku

Mmoja nliamua kucheck simu ya huyu mwanamke nikakuta muda mwang anachat na huyo bwana mpaka wanapeana ahadi za kuonana mbaya zaid mwanamke huyu ni kama vile ndiye anamuanza anamuuliza uko wapi mara amuamshe hatari zaidi sms zingne ni za usiku muda ambao nakuwa sijarud home sjaamua kumuuliza hilo nimeamua ku calm down nimpeleleze mdogo mdogo kwa kificho sina akiwa hajui kwamba huwa naptia simu yake maana nlishamzoeza kwamba sigusagi simu yake,jana tu wakati nakula usku ye alienda lala nlipoenda lala nikakuta kasnzia kajsahau akiwa anachat na huyo bwana na text ya mwsho alimtakia usku mwema. Wakuu mnaonaje nivute subra huku napeleleza au nkichafue as soon as possible na huu mkoa tuliopo ni una ukimwi ni kama maji.
Pole sana mkuu, jitahidi kumuuliza kistaarabu kwanza kabla hujachukua maamuzi makali
 
Back
Top Bottom