Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,162
- 6,308
Sema kimeumana.
wewe moja kwa moja uingie mbinguni dhambi zako apewe bwana pascal mayala.Code ya kiumeni ni kwamba unatakiwa usubirie kwanza mwenzako atombe kwanza ndipo upindue meza.
Huyo ni malaya kama wengineo ni vile tu wewe haukufanya upembuzi yakinifu kumchunguza umjue kiundani.
So,mwachie mwamba atombe kwanza mara kadhaa halafu taratibu anza kutafuta mali mpya kimya kimya. Then ukishakamilisha mali mpya kupatikana then huyo mfanyie surprise ya kumpeleka kwa mshikaji ukamkabidhishe mali yake ajilie kwa uhuru wake bila kuvizia. Huku wewe ukiingiza mama mpya ndani ya mji wako maisha yaendelee.
Mahusiano ya siku hizi na hawa wanawake wa kizazi cha nyoka sio ya kuchukulia serious unaweza fanya mambo ya majuto na ya kutia aibu sababu tu haukuwa makini na haukuzingatia kanuni.
Kuna jirani yangu alikuwaga anachukua mahausigeli huko wakifika huku town wanakitembeza wanasahau kazi hawachagui hadi kwa maboda boda, alikuwa anabadili wafanya kazi sana mwishowe akaamua kuchukua wakurya wenzie.mmmh eti eeeh.
Muuenifanye maamuz gani ya haraka mkuu.
Tatizo lilianzia hapamaana tyr alinikuta nina mtoto so kwangu wawili wanatosha na yeye anaye huko kwao.
hii imeenda hii..Kuna jirani yangu alikuwaga anachukua mahausigeli huko wakifika huku town wanakitembeza wanasahau kazi hawachagui hadi kwa maboda boda, alikuwa anabadili wafanya kazi sana mwishowe akaamua kuchukua wakurya wenzie.
Kuna wadada wa Singida wanafanya kazi hapa Bar jirani ni warembo wana mishepu ila sasa siyo wachoyo na hawajui kukataaa.
Ushuhuda wa mwisho nina kaka yangu kazaa na huyo dada wa Singida kamuachia mtoto kaenda kujiachia kufanya kazi Bar kaona kaka anambana haya hizo shuhuda zikusaidie kung'amua
Kwani lazima uishi na mwanamke wa watu?kupata mke ni shughuli pevu ila kupata mwanamke mbona simpo kama kuokota kambale mto msimbazi kipindi Cha masika.mpende Hadi akuue mwanangu.Wakuu no reform no....
Mwanamke wangu simuelewi kuna namba mbili tofauti anawasiliana nazo moja ameisave kbs jina la kiume na kwa jns nlivyofanikiwa kusoma sms anazotumiana na huyo bwana nimegundua ni wa huku tulipo na mwanamke wng huku hana ndugu kabisi, mi nyumban natoka asubuhi sina narudi usku kuanzia saa 4 usku
Mmoja nliamua kucheck simu ya huyu mwanamke nikakuta muda mwang anachat na huyo bwana mpaka wanapeana ahadi za kuonana mbaya zaid mwanamke huyu ni kama vile ndiye anamuanza anamuuliza uko wapi mara amuamshe hatari zaidi sms zingne ni za usiku muda ambao nakuwa sijarud home sjaamua kumuuliza hilo nimeamua ku calm down nimpeleleze mdogo mdogo kwa kificho sina akiwa hajui kwamba huwa naptia simu yake maana nlishamzoeza kwamba sigusag
Jichanganye ufanywe kama mchepuko wa mwijakuMume wa mtu 😂😂