Mambo ya mke na mme mtu ni magumu. Ndiyo maana wanaume tunakufa mapema. Angalia husije kupata presha na kisukari.Wakuu no reform no....
Mwanamke wngu simuelewi kuna namba mbili tofauti anawasiliana nazo moja ameisave kbs jina la kiume na kwa jns nlivyofanikiwa kusoma sms anazotumiana na huyo bwana nimegundua ni wa huku tulipo na mwanamke wng huku hana ndugu kbs, mi nyumban natoka asubuhi sn narudi usku kuanzia saa 4 usku mmoja nliamua kucheck cm ya huyu mwanamke nikakuta muda mwng anachat na huyo bwana mpk wanapeana ahad za kuonana mbaya zaid mwanamke huyu n kama vile ndiye anamuanza anamuuliza uko wp mara amuamshe hatari zaid sms zngne ni za usku muda ambao nakuwa sjarud home sjaamua kumuuliza hlo nimeamua ku calm down nimpeleleze mdogo mdogo kwa kfcho sn akiwa hajui kwmb huwa naptia cm yake maana nlishamzoeza kwmb sgusagi cm yake,jana tu wkt nakula usku ye alienda lala nlipoenda lala nikakuta kasnzia kajsahau akiwa anachat na huyo bwana na text ya mwsho alimtakia usku mwema. Wakuu mnaonaje nivute subra huku napeleleza au nkichafue as soon as possible na huu mkoa tuliopo ni una ukimwi ni kama maji.
Biashara ya migegedo, inauma sana mke akiwa analiwa nje, inauma sana sana yani, ila ndio new norm wanaona kama fashion ila ujitathmini kwanini anakufanyia hivyo muda mwingi unamuacha pekeake lazima asake nje!biashara gn mkuu we unaijua family yng? Biashara ya mwanamke kumwambia jamaa muda wowote nakuja hapo inaonekana jamaa alimuliza unaweza kuja saa ngapi na mimi sina wkend wala skukuu ni sku zote natoka asbh kurud usku kwaiyo mwanamke wng anakuwa huru kutoka kila sku na kufanya yake maana anajua muda wng wa kutoka na kurudi.
wivu tena ndugu yng kweli hv mtu kustukia mawasliano tata kati ya mwanamke wake na kdume kngne ni wivu.
Angekupa usingekula?Nilixhojifunza kwenye ndoa, ukitaka kuona meet, ana chepuka, utaona tu, kila analofanya wewe utalitafsiri kimchepuko!
Nina binamu yangu huwa nataniana nae, mpaka watu wakafikri ni dem wangu, siku moja, wife, anasikiliza mazungumzo, akajua naongea na kamchepuko kangu!siku alipogundua binti mwenyewe,kumbe ni utani tu, mpaka Leo ni mawifi wameshibana
Mkeo ni mama wa nyumbani?wivu tena ndugu yng kweli hv mtu kustukia mawasliano tata kati ya mwanamke wake na kdume kngne ni wivu.
mkuu hawa wadudu humu si ndo wanasemaga TAFUTA HELA by ze way siwez acha fanya biashara zng ksa mwanamke shaaabash kama ni dushe nampga nalo la uhakika.Biashara ya migegedo, inauma sana mke akiwa analiwa nje, inauma sana sana yani, ila ndio new norm wanaona kama fashion ila ujitathmini kwanini anakufanyia hivyo muda mwingi unamuacha pekeake lazima asake nje!
ushasema hana ndugu huyo ni nani sasa? sisi hatumjui huyo mwanamke wako kukuliko wewe, ukishachunguza utaweza kumuacha au kutusumbua tu?
Mkuu wewe Huna mchepuko?siwezag pga mwanamke iyo ndo itakuwa ticket ya kurudi kwao mazima.