Wakuu no reform no....
Mwanamke wngu simuelewi kuna namba mbili tofauti anawasiliana nazo moja ameisave kbs jina la kiume na kwa jns nlivyofanikiwa kusoma sms anazotumiana na huyo bwana nimegundua ni wa huku tulipo na mwanamke wng huku hana ndugu kbs, mi nyumban natoka asubuhi sn narudi usku kuanzia saa 4 usku mmoja nliamua kucheck cm ya huyu mwanamke nikakuta muda mwng anachat na huyo bwana mpk wanapeana ahad za kuonana mbaya zaid mwanamke huyu n kama vile ndiye anamuanza anamuuliza uko wp mara amuamshe hatari zaid sms zngne ni za usku muda ambao nakuwa sjarud home sjaamua kumuuliza hlo nimeamua ku calm down nimpeleleze mdogo mdogo kwa kfcho sn akiwa hajui kwmb huwa naptia cm yake maana nlishamzoeza kwmb sgusagi cm yake,jana tu wkt nakula usku ye alienda lala nlipoenda lala nikakuta kasnzia kajsahau akiwa anachat na huyo bwana na text ya mwsho alimtakia usku mwema. Wakuu mnaonaje nivute subra huku napeleleza au nkichafue as soon as possible na huu mkoa tuliopo ni una ukimwi ni kama maji.