Bahatinasibu
Member
- Oct 22, 2021
- 96
- 116
Ndugu zangu napiga namba +255282500513 ambazo zipo kwenye website ya Bugando Hospital sipati msaada haipokelei.
Lengo niende kutibiwa wiki ijayo. Sasa nataka kujua siku ambayo unafika na kumuona daktari wa ugonjwa nilionao
Kwenda bila mawasiliano unaweza kuchoma nauli kisha unafika unaambiwa dokta wa ugonjwa wako atakuwepp siku fulani (kuepusha hili nikataka ningepata mawasiliano).