Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 972
Nimependa sio mchoyo wa K-Vant na anajali , anahisia Kali umepata bonge la manzi
Nimependa sio mchoyo wa K-Vant na anajali , anahisia Kali umepata bonge la manzi
CoolMimi ni mzito balaa sinaga time, at least tuwe na programmed chats, calls sipendi kila muda kila dakika. Na swali la kichawi Malaya wengi wanauliza uko wapi, unakuta mbwa hata hasema hujambo mpenzi umeshindaje?are you ok, nimekumiss natamani nikuone, natamani uwahi kurudi, uko jirani nikufate, uko free tuwe wote? Sasa ajabu vijibwa utasikia uko wapi, kumbe kinaanda mazingira salama ya uelekeo na mchepuko au kumegwa ili aende uelekeo salama. Ogopa mbwa ni mbwa tu.
Am born romantic but I had this primitive, ugly one and with unmovable village in everything she had with her. I was like how did it even happen that she had clinged in my territorial space for 7 years. Kitu ya kudandia hio haifikangi mwisho hio ni lift ya kuishianga somewhere enroute.Cool
Younglings 😂
Asubuhi kujuliana hali ameamkaje na usiku kujuliana hali siku imeendaje kwa umpendaye inatoshaHi,
Vipi wakuu Ni mawasiliano gani unayapenda;. Yale ya kuwasiliana na mpenzi wako Mara kwa mara yaani asubui, mchana,jioni na usiku, au Ile ya asubui na usiku basi.
Au Yale ya kuwasiliana Leo mtachekiana Tena kesho yake, au Yale ya kuwasiliana Mara moja kwa wiki.
Wewe unapenda mawasiliano yapi Kati ya hayo
Tulioumizwa sana na hiz mambo hatunaga papara Wala appetite nazo sana,Kuna muda huwa nawaza kama mawasiliano yatatutenganisha bas hakuwahi Kuwa wangu......kujizira Kwa sana🙄Siku hizi sijui nmekuaje nisipochekiwa ndio basi.
Ebu imagine mtu anakaa kimya week nzima ukimchek atajivuta weee ajibu ama asijibu badae anakuambia alikua busy, yaan nikishaskia hivi naendelea na mambo yangu. Upuuzi wa kupenda mtoto wa mtu na ukanitoke.Tulioumizwa sana na hiz mambo hatunaga papara Wala appetite nazo sana,Kuna muda huwa nawaza kama mawasiliano yatatutenganisha bas hakuwahi Kuwa wangu......kujizira Kwa sana🙄
Kuna mambo unaona kabisa hapa nalazimisha mapenz🤣Ebu imagine mtu anakaa kimya week nzima ukimchek atajivuta weee ajibu ama asijibu badae anakuambia alikua busy, yaan nikishaskia hivi naendelea na mambo yangu. Upuuzi wa kupenda mtoto wa mtu na ukanitoke.
Kabisa yaani 😃😃 bora kushtuka mapema.Kuna mambo unaona kabisa hapa nalazimisha mapenz🤣
🤸Kabisa yaani 😃😃 bora kushtuka mapema.
Vijana wanawaza kupigana mizingaMawasiliano ni hayo hayo ya kusema.... naomba hela ... na hakuna majibu japo yuko on.
Vp nkucheki bas mrembo kelseaSiku hizi sijui nmekuaje nisipochekiwa ndio basi.