Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,998
- 35,451
😂😂 Sitaki, moyo wangu ushaingia ganzi sijui nifanyaje.Vp nkucheki bas mrembo kelsea
😂😂 Sitaki, moyo wangu ushaingia ganzi sijui nifanyaje.Vp nkucheki bas mrembo kelsea
Usifanye hivo kelsea,nifungulie PM please..nitakuwa mwema kwako.😂😂 Sitaki, moyo wangu ushaingia ganzi sijui nifanyaje.
Hawa hawana kazi za kufanya ndio maana hakuna hata la maana wanalochat hapo.Kuwasiliana muda wote 24/7 na kuongea nonsens[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2360150
Inapita miezi, sembuse siku.Yaani siku ipite hujawayilina na umpendae,,,
Nimejua kubalance shobo. Nitahangaika na anaeonyesha kunijali na si vinginevyo.Hujapenda unajilazimisha
Bora kuwa single kama mimi. Hapa ni kula kunywaTulioumizwa sana na hiz mambo hatunaga papara Wala appetite nazo sana,Kuna muda huwa nawaza kama mawasiliano yatatutenganisha bas hakuwahi Kuwa wangu......kujizira Kwa sana[emoji849]
VyoteKukujali kipesa, aukimawasilianao au nini
Mbona mnaandikiana kama mashoga? Mwandiko gani huu? Stupid.Kuwasiliana muda wote 24/7 na kuongea nonsens[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2360150
Upuuz sna huuKuwasiliana muda wote 24/7 na kuongea nonsens[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2360150
😂Jitu zima linaandika msg kwa radio natafuta marafiki wa kuchati nao jmn that is highly stupidity rate
Ujinga sna huo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app