Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,259
- 35,538
Naona mlikuwa kwenye kikao Cha WANYAKYUSA hapo. Mkajihisi mpo Uyole Mbeya sioš¤Ebu imagine mtu anakaa kimya week nzima ukimchek atajivuta weee ajibu ama asijibu badae anakuambia alikua busy, yaan nikishaskia hivi naendelea na mambo yangu. Upuuzi wa kupenda mtoto wa mtu na ukanitoke.