TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,197
- 18,227
Hakuna coward anayejiabisha kama yule anayepiga mtu mkwara kwa kutumia ID ya kujificha. Kama unajua zemarcopolo ni nani na unajiamini unaweza kumpiga mkwara, nenda kwenye private message jitambulishe wewe ni nani halafu mpige mkwara zemarcopolo ili zemarcopolo naye apate fursa ya kuhit back halafu uone who will fall down kati yako na zemarcopolo. Hii unayofanya ni sawa na kumnyemelea mtu umrushie jiwe halafu ujitambe kwamba wewe ni babkumbwa.
Kama unaona maoni ya zemarcopolo yanakukera sana mpaka umeona bora kutangaza vita na zemarcopolo basi kuwa na ujasiri to introduce yourself tuingie ulingoni.
Pumbaaaaaavu...
noted with thank kima
i will