Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
CAG walisema ataanza ukaguzi wa "Value for Money" ama ni siasa mtindo mmoja?
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.
Are you for real?Are you reading what the whole topic is all about?Am not questioning his ability nor his success as a lawyer,the issue here is a software for 1bn??
Come on now, even if you are expensive, that is way too much for a software. No hard feelings tho!
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.
BRELA should come up with something!
Duh! pamoja na software ya 1bn bado hawakuweza kumtambua mmiliki wa DOWANS mpaka alipoamua kuja mwenyewe na kutuwekea masharti ya kuongea naye mojawapo likiwa kufumba macho wakati wa kumpiga picha. hi hi hi hih teh teh teh.
mmh how sure you are???naungana na wewe kwa 100% kuhusu Nyaga Mawalla. Ni kijana mdogo ambaye si fisadi wala hana mawazo ya kifisidi ni kijana wa kuigwa na vijana wengine wanaotaka maendeleo