Mawakili wa serikali na mashahidi dhidi ya Lissu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Nawashauri tu, mnafanya dhidi ya Lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha Lissu na kufarihisha wengine.

Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku ukifumba jicho utaona madhara yake.
Mtendeni haki Lissu bila kumuonea huruma lkn bila vikao vya siri vya kuona jinsi mnakwamisha lkn ndani ya nafsi yenu mnaamini tofauti.

SIKU YA HESABU

Katika Surah ‘Abasa (80:34–37), Allah anasema:
“Siku ambayo mtu atamkimbia ndugu yake,
Na mama yake na baba yake,
Na mke wake na watoto wake.
Kila mtu siku hiyo atakuwa na jambo lake litakalomtosha.”

HAKI NDIO MSINGI WA BINAADAM
Ushahidi wa Qur’an
Qur’an 4:135 – “Enyi mlioamini! Simameni imara katika uadilifu, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, hata kama ni dhidi ya nafsi zenu…”
Qur’an 5:8 – “Msichukiwe na watu mkashindwa kutenda haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo karibu zaidi na uchamungu.”
Hii inaonyesha kuwa haki si chaguo bali ni amri ya kidini.
Maana ya Kutenda Haki
Kutenda haki ni:
Kumpa kila mtu haki yake bila dhulma.
Kuhukumu kwa usawa bila upendeleo wa mali, undugu au chuki.
Kuepuka ushahidi wa uongo na dhulma.
Kusimamia ukweli katika jamii, familia, na uongozi.
Mtume Muhammad (S.A.W) alionya kuwa dhulma ni giza Siku ya Kiyama, na viongozi waadilifu watakuwa katika kivuli cha rehema ya Allah.

RAMADHAN IWE LKAREEM
 
Hivi huyo Wakili wa Serikali Ndugu Renatus Mkude si alisoma naye ILBORU Mh Tundu Lissu? Kwanini naye ajiite Renatus Mkude wakati ni Renatus Michael?
 
Fact
 
Katika Surah ‘Abasa (80:34–37), Allah anasema:
“Siku ambayo mtu atamkimbia ndugu yake,
Na mama yake na baba yake,
Na mke wake na watoto wake.
Kila mtu siku hiyo atakuwa na jambo lake litakalomtosha.”
Kwa hiyo wale mashee waliokaza shingo zao ati amani kwanza kabla ya haki walikua na maslahi Yao?
Kwa hiyo TEC wanaelewa Quran kuliko mashehe?

Tafdhali
 
Inawezekana TEC wanaijua Quran lkn kuifata hawataki lkn wanaamini ndio haki yenyewe Quran
Amini usiamini:
Binadamu yoyote ambaye anaijua Quran au Bible hana matatizo hapa duniani wala Hana chokochoko.

TEC wanaijua sana Quran ndiyo maana wanaisha kwa haki.
Sijasema mashehe hawajui Quaran au Bible bali baadhi ya mashehe maslahi mbele.
 
Pale mashahidi wote wa kesi ya lissu ni wakristo. Bakwata inahusika vipi?
CCM ni Axis of Evils
Kila uhuni, kibaya, mauaji, utekaji ——- CCM ni mbele kwa mbele kwa nchi hii.

Ile CCM ilishaondoka na Nyerere.

Siku hizi nikimsikia mtu CCM yupo nyuma yangu hata mwili unasisimka.

Hili shetani tutaishi nalo muda mrefu lakini litaondoka tu
 
Amini usiamini:
Binadamu yoyote ambaye anaijua Quran au Bible hana matatizo hapa duniani wala Hana chokochoko.

TEC wanaijua sana Quran ndiyo maana wanaisha kwa haki.
Sijasema mashehe hawajui Quaran au Bible bali baadhi ya mashehe maslahi mbele.
Mashehe wa BAKWATA ndiyo pasua kichwa ngumi mkononi hasa kama kuna mgao wa vijinyama toka Makkah
 
huyo kibaraka muhaini ni lazima atiwe hatiani na hatimae arestishwe in peace kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa vibaraka na mamaluki nonsense kama yeye,

kama taifa hatuwezi kuvumilia au kulea ujinga kama huo
 
Bendera hufuata upepo
Wahenga walisema
Najua wengi hamtanielewa,,nitawaelewesha tu.

Kama vurugu zingeendelea je hata hiyo mahakama ingefanya kazi?

JIBU HAPANA,sasa baada ya kuwa na amani ndio mmeona hata kesi zinaendelea sasa,kwahiyo kwanza amani na pili ni haki
 
Najua wengi hamtanielewa,,nitawaelewesha tu.

Kama vurugu zingeendelea je hata hiyo mahakama ingefanya kazi?

JIBU HAPANA,sasa baada ya kuwa na amani ndio mmeona hata kesi zinaendelea sasa,kwahiyo kwanza amani na pili ni haki
Vurugu zililetwa na dhulumat za haki
Kama haki ingekuwepo vurugu zisingetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…