Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

Habari za kutoka ndani kabisa ni kwamba mtaajiriwa wa sita mwishoni au saba mwanzoni ia kama sdvocate mandhali una Muhuli wako basi fungua hata kijiofisi mtaani hutokosa buku kumi kwa siku
 
Mkuu acha kudanganya watu. Kitu uaichokijua usikitolee majibu mepesi.kuna watu wameenda juzi mpaka Naibu mwanasheria mkuu wamepewa majibu tofauti na yako. Kuwa makini mkuu.
 
Kwa mfano wilaya ya simanjira haina mahakama. Ndo juzi kati nlipata taarifa wanaanza mchakato wa kujenga mahakama! Sasa hawa mawakili si ndo vituo vyao hivyo? Pia kuna wa2 tunasubiri kuitwa interview ya utumishi, kuna Afisa tawala na Wa2 wa IT. Sasa sijui hii imekaaje?
 
Ag wameanza kuita leo kaa karibu na simu yako kuna maelekezo muhimu.
 
Ag wameanza kuita leo kaa karibu na simu yako kuna maelekezo muhimu.

Jana nimepigiwa pia na mimi nikapewa maelekezo, ila kuna jamaa zangu hawajapigiwa sa sijui anaita kidogo kidogo
 
Wote watapigiwa. Zoezi lilianza juzi na linakamilishwa leo. Hata usioopigiwa haina maana haujaitwa cha msingi je uliripoti kwa AG mwaka jana ?
 
Ndo muamini kuwa Jf watu wengine huwa wanaandika mambo wasiyo yajua... kwa mfano alichokisema jamaa yetu ck2 hapo juu
 
Ndo ata mm kuna mtu nlimwambia wengine humu hawahusiki so wao ni kuponda tu bila facts
 
mwanzo hoja zilikua zinatiririka tu. sasa hivi naona inatupiwa mojamoja. jf kiboko
 
Nahisi wanaita kwa awamu kwasababu ya udogo wa eneo tukiitwa wote kwa siku moja tutajaa sana ofice za watu hlf kunakua na kama fujo hivi labla ndio maana wanaita kwa grup ila nina amin wale wote waliorepot mwaka jana lazima wataitwa tu
 
Kwanza badili kichwa cha habari, hakuna mawakili wa serikali ila kuna wanasheria wa serikali.
Back to topic; kwa kuwa usahili wa awali hawakupata idadi ya kutosha basi nadhani wameamua kusubiri ili wawaunganishe na wale watakaofanya usahili tar 03 feb. Naamini wataitwa wiki chache baada ya feb 03.
Mpe mdogo wako pole

Wanaitwa mawakili wa Serikali. Nenda State Attorney Chamber katika mkoa wowote ukiwa na document yoyote ya kiapo, mathalani HATI YA ARDHI au fomu za passport na uwaombe kukusainia na kukugongea mhuri, watagonga mhuri wa WAKILI WA SERIKALI. Hebu soma kifungu hik kutoka habari ya Kesi ya Lwakatale dhidi ya Serikali: "Wakili wa Serikali Mwandamizi, Angaza Mwipopo akisaidiana na Wakili Serikali Mwandamizi, Hashim Ngole, alijibu kuwa wanachopinga ni uamuzi wa mahakama kufuta mashtaka katika kesi ambayo haikuwa mbele yake. Wakili Angaza alidai kwamba kutokuwepo kwa mwenendo huo hakuathiri na kwamba mahakama ina uwezo wa kuyasikiliza maombi hayo hata bila kuwepo kwa mwenendo huo"
 
wanasheria wa serikali wameanza kuitwa juzi kuna mtu namfahamu kapigiwa simu akakanilishe taratibu jumatatu,so msikae mbali na simu zenu kama bado hamjapigiwa mliopata zile barua
 
Back
Top Bottom