mzee hao ni mawakili wa serikali tu (State Attorneys), au unataka tuanze kuwaita government lawyers/state lawyers?...hahaha. you can use those names interchangeably. just choose what you feel good to call.Kwanza badili kichwa cha habari, hakuna mawakili wa serikali ila kuna wanasheria wa serikali.
Back to topic; kwa kuwa usahili wa awali hawakupata idadi ya kutosha basi nadhani wameamua kusubiri ili wawaunganishe na wale watakaofanya usahili tar 03 feb. Naamini wataitwa wiki chache baada ya feb 03.
Mpe mdogo wako pole
Unamanisha izo pesa wanazotoa hasa hao waliokaa miezi miezi 5 ni mshahara au pole ya kusubiri muda mrefu ?
Ni Mishahara Yenu, Ya Kujikimu, Na Mavazi Yenu. Kwa Mavaz Except Ps, Na Kushuka Chn, Kwa Hayo Labda Wabadil Mwaka Huu. Ha Ha Ha Jiandaen Kupokea Kitita Na Semina Za Nje Ya Nchi
Tanzania ndiyo maana rushwa inakithiri.msijali, subirini baada ya uchaguzi kutakuwa na kesi nyingi, mtapiga kazi mpaka mchoke
Semina nje ya nchi ? Iyo Ps ndo nn ?
Ni mawakili wa Serikali. Na tunao Mawakili wa kujitegemea na wale wa Serikali. Zamani Serikali ilikuwa inaajiri wanaseheria tu amabao hawajawa Mawakili. Kwa sasa hilo halipo tena, wote kabla ya kuajiriwa lazima uwe ni wakili. Sijui anayesema ni wanasheria na hakuna mawakili wa serikali hii anaitoa wapi. Neno ATTORNEY ktk dictionary maana yake ni "advocate, counsel etc ". Hebu angalia Advocates Act, Cap 341 inavyotoa maana ya neno "Advocate" au wakili kwa kiswahili: "Advocate means any person whose name is dully entered as an advocate upon the Roll". Sheria inamtambua mtu kuwa ni wakili/advocate kwa kule tu kuapishwa na kuingizwa kwenye oradha ya mawakili na Jaji Mkuu. Kwa taarifa tu hawa watakaoajiriwa na serikali ni mawakili/advocates/attorneys kwani majina yao yapo na yataendelea kubaki katika oradha ya mawakili/Roll kama wataendelea kulipia ada zinazohitajika kwa wale wasio practice. SIJUI UMETOA WAPI HILO NENO ETI SIYO MAWAKILI WA SERIKALI NI WANASHERIA WA SERIKALI?
Tanzania ndiyo maana rushwa inakithiri.
Rushwa ndo sera ya chama tawala ccm
Serikali ya ccm haina pesa zote zimeliwa kwenye dili la escrow ndo maana huyu ndugu hajaitwa lakini akikubali kujitolea kufanya kazi bila malipo hata kesho watampa kituo cha kazi.
kwa hapo nafas ya rushwa haipo kwa sasa, tungetoa rushwa kwenye interview
Kwan zile posts zilikuwa za volunteer ? Wewe unamini vp serikali haina hela ? Kama sio ukanjanja tu.
Pesa zimeliwa kwenye escrow serikali imefilisika mpaka makandarasi wamesimama hawafanyi kazi kwa baadhi ya mikoa