Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Kama imefilisika, how comes inaendelea kuajiri watu kuptia utumishi, hamna lolote zaidi ya kuchukua mambo kirahisi.
Hao wanaoajiri una uwakika wanalipwa mishahara yao kwa muda muafaka?
Kama imefilisika, how comes inaendelea kuajiri watu kuptia utumishi, hamna lolote zaidi ya kuchukua mambo kirahisi.
Hao wanaoajiri una uwakika wanalipwa mishahara yao kwa muda muafaka?
Endelee kumpa moyo huyu ndugu yakoKulipwa mishahara muda muafaka sio tatizo la mwaja huu, kila wakati wajiriwa wanalalamika kuchelewa mishahara yao, sio kigezo hiko, tunarudi pale pale wanachukulia mamboa simply
Sote Tunasubiri, Ngoja Tuone February, Lakin Issue N Pesa, Na Watu N Weng
February ndo inaisha hiyo, hii lazima iwekwe kwenye diary.
Hapo mpaka mwakani labda anaweza kuitwa baada ya uchaguzi mkuu
Mnawapa moyo kwani umeambiwa wapo humu JfWewe pilipili za shamba zakuwashia nn, watu very soon kitu na boksi hapa tunawapa moyo tu wasaka tonge walio njiani na wale wasiokuwa na matumaini hata ya kuitwa loh.
Rushwa ndo sera ya chama tawala ccm
February ndo inaisha hiyo, hii lazima iwekwe kwenye diary.
Hv Si Ulisema Mwez Huu Twende Kw Ag? Tukaweke Kambi
kuna interview nyingine wanafanya kujaza iidadi nafikiri baada hapo tutaitwa wote
Unaweza nipa ilo tangazo la interview ya kujaza idadi.
mlipoitwa nyie wakatangaza tena mwaka jana November state ATTORNEYS 66 interview imefanyika mwezi huu wa pili tarehe 3 ndio wanasubiri majibu watu wakafanye kazi
Duuu! Hi Kipimo Cha Iman, Amini Bila Kuona, We Will Koma
Ha ha ha ha, utakoma nn tena wakati ushakuwa patient mda mrefu sana, juc keep on tolerating rayd.