SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Wanajua kuwa mumiani mumeshafanya yenu.Yaani wewe unajichumia dhambi bure. Kwani hadi umri huo huwezi tenganisha masihara na majengo kama kifo? Unafikiria wafiwa wanazichukuliaje kauli zako haswa kwenye kipindi hiki kigumu?
Na yeye hata siku ya uchaguzi asifike afe kwa mateso makali au apate wazimuAlaniwe huyo alieachangia kutokea kwa ajali hii.
Duh...pole wafiwa ..ni pigo kubwa familia zao..poleni Sana Ndugu wafiwa...Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Hao hao waliokutag umesahau akifa mtu wanauliza ni chama gani na wanasema kama ni ccm wafe tu, sasa nashangaa leo wanaona kinyume, au ndio ile mkuki kwa nguruwe, ila nimekuelewa mama DHuu sio utu wala sio utanzania. Siasa ni imani sio uadui
Siasa zisituondolee utu Watanzania. Siasa ni imani kama ilivyo dini.... kama ilivyo unaweza kuwa mchungaji akatokea mwanao ameolewa na shehe au ukawa shehe na mwanao ameolewa na mchungaji au mtoto wa mchungaji. Ndivyo unaweza kuwa Chadema na watu wako wengine wakawa CCM au ukawa CCM watu wako wengine wakawa ACT au chadema. Huwezi kuwachukia na kufurahia matatizo yao.
Unaweza furahi mpinzani wako kwenye siasa akishindwa kwenye kura au wanachama wakimkimbia sababu ushindi utakuja kwako lakini kamwe binadamu mwenye utu huwezi furahia kifo. Siasa sio vita jamani
Bujibuji huyo jamaa ni wa kupuuzwa
Acha ujinga wee, kila kitu ujinga tuu Nani kaleta hivyo vipapai? Mwingine akisema walikuwa wamelewa Kama mwenyekiti wenu utaona sawa?Wameshaanza vipapai tayari
Pole kwa familia na wanaCHADEMA wote
Mawakala wa CHADEMA hawawezi lewa wakati wanatambua majukumu yao,hamna unazi huku kama mlio nao mbogambogaAcha ujinga wee, kila kitu ujinga tuu Nani kaleta hivyo vipapai? Mwingine akisema walikuwa wamelewa Kama mwenyekiti wenu utaona sawa?
Kumbe wewe ni shoga [emoji23][emoji23] naona umeleta tangazo indirectly.. Hongera kwa kujikuna na gunzi ukikosaga wateja, inaonesha ni jinsi gani unajali hisia zako!Wasenge ni ukoo wako kuanzia wewe mwenyewe na unatembea na gunzi ili likukune unapokosa wateja na pia kuzuia uchafu kudondoka njiani
Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Ndio unaniita nije nikuweke gunzi, umejisafisha lakini ?? Maana wenzio wengi wapi humu wanatekeleza sera za "saccos" ndio walio andika hapo awali matumizi ya hilo gunzi, na wewe naona unaunga mkono juhudi kwa kujifanya unaaibuKumbe wewe ni shoga [emoji23][emoji23] naona umeleta tangazo indirectly.. Hongera kwa kujikuna na gunzi ukikosaga wateja, inaonesha ni jinsi gani unajali hisia zako!
Kuna mkono wa ccm hapoMawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Poleni makamanda kwa msiba huu mzito.
Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu
Mbingu gani hiyoo?RIP ,uchunguzi ufanyike
Natumaini mpo mbinguni saivi ,hongereni kwa kufa katika kupigania haki hakika umekufa kishujaa
Nec/ccm wanahusika vifo hivyo, na watadaiwa damu iliyomwagika siku ya hukumu, kulazimisha kuwapeleka kwa mkurugenzi mawakala wote na wanalazimika kusafiri mwendo mrefu, jografia yetu sehemu zingine hairuhusu, sheria ya uchaguzi inasema wazi kwamba hata designated person yaani msimamizi msaidizi wa uchaguzi aweza kuwaapisha mawakala, ccm wauaji, nec wamechangia vifo kutokea, kila jambo huwa lina chanzo chake, Interpol wakifanya uchaguzi watabaini haya ninayoyasemaSamahani hebu nisaidie kujua Tume wanahusikaje hapa?
Pole kwa familia za Watanzania waliopoteza maisha...
October 28th twende kwa wingi tukampigie kura za NDIO Magufuli.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Wewe unaijua mbingu ipi ??Mbingu gani hiyoo?