Mavazi yanataka kunikosesha mke, nishaurini

Mavazi yanataka kunikosesha mke, nishaurini

Chukua likizo, vaa casual.. ingia mapindi ya udsm hapo ya mwaka wa 3 then chukua namba zako kadhaa hlf anza kufanya assesment zako. Huwezi kosa hata mmoja aisee
 
Chukua likizo, vaa casual.. ingia mapindi ya udsm hapo ya mwaka wa 3 then chukua namba zako kadhaa hlf anza kufanya assesment zako. Huwezi kosa hata mmoja aisee
Aisee mkuu asante sana. Hii imekaa sawa. Kweli JF ni kisima cha maarifa. Nimeichukua hii. Tena not necessarily vyuoni, hata kwenye maeneo mengine mtambuka. Thanks a lot.
 
.
IMG-20210716-WA0048.jpg

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Juzi tu hapa kuna binti kasema hataki tuendelee nikajibu sawa kwaheri nikapiga kimya mara jana ooh ukujirekebisha mi niko tayari Tuwe pamoja tena ,kimya why hujibu kimya.
Nahitaji champoo,balsam,oliv oil sijui vitu gani.
Mi kimya tu.
Sio kwamba siwezi kumpa ila nikimpa akipendeza jeuri itaanza,mwache abaki kama kinyago vile.
 
Kama ni Suti mbona ni wanaume wengi tu wanavaa? mshirikishe Mungu kwa maombi ili uweze kupata Mke mwema.
 
Fanya yale unaoweza, mengine yasikuumize kichwa...
 
Ni wanaume wajinga pekee wakiombwa hela wanatoa. Kwani huyo mwanamke angeishije bila kuweko wewe!? Ninyi mnaeona mwanamke ndio wakupewa hela mnaharibu sana
 
Tena wewe utakuwa unafanya kazi ya sheria, wanaovaa suti ni wanasheria na umejiita amicus curiae tena kama ni mwanasheria wa dar utakuwa njaa tupu na bado mademu wanataka kukukamua
 
Usitake kuaminisha watu kuwa suti ni vazi tu, tambua kuwa suti ni kwa ajili ya class fulani kisha amua kuendana nayo au uwe kenge kwenye msafara.

Live up your standards.[emoji1614][emoji276]
 
Juzi tu hapa kuna binti kasema hataki tuendelee nikajibu sawa kwaheri nikapiga kimya mara jana ooh ukujirekebisha mi niko tayari Tuwe pamoja tena ,kimya why hujibu kimya.
Nahitaji champoo,balsam,oliv oil sijui vitu gani.
Mi kimya tu.
Sio kwamba siwezi kumpa ila nikimpa akipendeza jeuri itaanza,mwache abaki kama kinyago vile.
[emoji23]
 
Back
Top Bottom