Mavazi yanataka kunikosesha mke, nishaurini

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Wakuu, habarini za wakati huu na poleni na mabadiliko ya tozo za miamala ya kifedha kwa njia ya mitandao ya simu.

Kuna nyakati kweli tunafanya mizaha lakini hapa nawashirikisha jambo hili 'on a serious note', comment ukiwiwa kufanya hivyo, usipojisikia soma tu halafu pita, usinikejeli au kunitusi; lakini ukifanya hivyo amini kwamba nimeshakusamehe.

Mimi ni kijana ambaye ndiyo naanza maisha. Kazi ninayoifanya inanilazimisha nivae SUTI kila siku kuanzia j3-Ijumaa, tena kuna wakati nikiwa na kazi maalumu navaa mpaka jumamosi, kwahiyo mara nyingi nakutana na mabinti nikiwa nimevaa vazi hilo, suti zinakuwa za rangi tofauti tofauti; niwe ofisini, mgahawani, mtaani n.k.

Shida ni kwamba mabinti wengi wanapenda muonekano wangu, lakini pili wengi WANAAMINI nina pesa nyingi, so najikuta naombwa pesa sana. Kuna binti mmoja ambaye nilidhani anaweza kuwa mke..huyu tulianza vizuri, hakuomba pesa wala vocha kwa wiki 3 za kwanza, baadaye akaanza kidogokidogo nikawa nam-support, nilikuja kuchoka siku ananiomba milioni 2 za mtaji wa biashara fulani aliyotaka kuifanya, halafu tatizo lingine kubwa akawa hana subira. Nikimwambia asubiri nimtafutie ananuna, anaamini ninayo ila namnyima kumbe kweli sina.

Week end ndiyo navaa casual. Nifanyaje kaka zangu na dada zangu? Ili niwaaminishe suti ni vazi tu. Manake mwingine akikukuta na suti yani hakuelewi ukimwambia huna pesa.

Naombeni msaada wenu. Asanteni.
 
Watu wanatafuta wake kwenye mazingira wanayoishi mkuu,hautumii nguvu kushawishi wala kuishi nje ya uhalisia wako ili wakukubalie
 
Aina ya wanawakeunaowapata hawakufai endelea kutafuta na mshirikishe Mungu kwa maombi atakupa mke mwema
 
Watu wanatafuta wake kwenye mazingira wanayoishi mkuu,hautumii nguvu kushawishi wala kuishi nje ya uhalisia wako ili wakukubalie
This is true. Ila kwa upembuzi yakinifu niliokwishaufanya, hapa ofisini sijaona wa kufanana naye.
 
Back
Top Bottom