Mavazi ya Harusi

shizo mkax

Senior Member
Feb 5, 2015
190
39
Poleni na pilika wanajukwaa. Nawasalimu kwa lugha zote.

Natarajia kuoa next month. Naomba kujulishwa maduka ya nguo za harusi za kiislam. Naprefer zaidi mitindo ya kihindi.

Wasaalam
 
Hongera kwa hatua uliyoifikia Mkuu!

Unaishi mkoa gani/upi ili tuweze kuelekezana vizuri?., Unahitaji vazi kuanzia bei gani?.nk

Naomba nikusahihishe jambo kama hutojali (Nb:Kama nitakuwa ninajilisha upepo unisaidie pia).Uislamu ni Usafi na kujinyenyekeza mbele za Allah.Hauna uhusiano wowote na Mavazi na mengine mengi.Vazi unaloliulizia ni vazi la utamaduni wa Muarabu na siyo muislamu.

Kama wewe ni Mmasai unaweza kuvaa rubega zako tu na ukafunga harusi yako na ikawa saafi.Tatizo ni kwamba,Tuliaminishwa sana katika utamaduni wa Mzungu na muarabu kitu ambacho nacho ni sahihi.

Kumradhi kwa hili.
 
Pamoja na

Pamoja na maelezo yako mazuri lakini nataka nikukumbushe jambo moja kwamba dini ni njia ya maisha ya mwanadamu ikijumisha tamaduni na desturi za mafundisho yake. Vazi nililochagua ni lolote linalokidhi hitaji la dini yangu. Napenda mtindo niliotuja kwa personal preference tu.
 
Back
Top Bottom