Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
hapo nadhani ni rangi ya mifuko ya jeans tu......@ma mdogo nadhani ndo hivyo
mkuu' uko nchi gani?
Ndugu zangu wana JF katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya mwanchi kapigilia vibwalo vya jeans inayozingatia sera za Uwazi na Ukweli, tafadhali nawe shuhudia!!!
View attachment 72969
Mhhhh! Best hakuna majaaliwa hapo ni kujivunjia heshima tu duh!!!!
Kitu mpododo arif nyama lainiiiiiiiiiiiiiii
Mmhhhh!!!!!! Very bad!!!!!!!!!!!!11
Mkeo umemuacha home, halafu wewe umenda kazini.
Ukiwa kazini unapigiwa simu ya dili, unakatiza Mtaa wa Samora unamkuta wife wako kavaa hicho kivazi huku kakumbatiwa na bwana la kizungu