Mauzo ya magari Tanzania

Rwabukambara

Member
Mar 16, 2011
41
19
Wadau wa Forum hii... hivi mnaonaje suala la ununuzi wa magari kwa Installment kama nchi za wenzetu kama Uingereza.
Hii itarahisisha kupunguzo tatizo la usafiri... Maana unakuta Kampuni au mtu binafsi anauza gari Milioni kumi na anaita yote kwa mkupuo... hiyo inakua ngumu kidogo ukizingitatia hali ya uchumi ilivyopanda na gharama za maisha.
Ikiwezekana tu au kampuni iweze kufanya biashara hii, maanake watu wanotaka kununua magari ni wengi na mtu uwezo alio nao ni wa kulipia kidogo kidogo.
Mnaonaje hili wadau... au kama kuna mtu anafahamu kampuni za uuzaji wa maari zinazo uza kwa istallment watoe address zao tuweze fanya biashara.
Rwabukambara (MHAYA ORIGINO)
 
Mimi natafuta gari kwa bei nafuu,mwenye nayo anipigie 0652 210 584, iwe ktk hali nzuri, isizidi km 80,000, bei iwe ni nafuu ndo maana sijaenda kwenye yadi
 
Mimi natafuta gari kwa bei nafuu,mwenye nayo anipigie 0652 210 584, iwe ktk hali nzuri, isizidi km 80,000, bei iwe ni nafuu ndo maana sijaenda kwenye yadi

Ingekuwa vema ukatoa sifa za gari hiyo ya bei nafuu... Manaake unaweza kupata vx ya mil12 ikawa ni nafuu kwa aina hiyoi ya gari na ukakuta vitz ya mil 17 isiwe nafuu kwa aina na sifa za gari.
 
Back
Top Bottom