Mauzauza ya usiku, nitamuua huyu mama

Mauzauza ya usiku, nitamuua huyu mama

Kama husomi hama hapo kwa baba yako, nenda kajitegemee hayo mambo ya wake za baba yako mwachie mwenyewe , wewe hayakuhusu.

Tafuta chumba cha bei rahisi panga Anza kujitegemea mambo ya kukaa kwa wazazi utakuwa unakosoa kila kitu,kila kitu utakuwa unaona hakiendi sawa.
 
Halafu inaonekana unapenda sana Kuua, yule msichana aliyekukataa kwenye ile thread ulisema ingekuwa Enzi zako ungemuua.
 
Ndugu mi nshaomba sana... ila huyu mama ni kiboko,kila siku afadhali ya jana

Your not serious anyway. Unachotaka kutuaminisha ni kwamba Mungu hana nguvu mbele ya uchawi.

Jipange mkuu, maisha yako mwenyewe hayako sawa. Ndio maana unasema umeomba bila mafanikio. Unajiroga mwenyewe kwa kutokuamini na kutokuwa msafi.

Njoo pm kama uko serious kuondokana na hilo tatizo, uwe tayari kuokoka.
 
pole sana, izo ndo kazi zetu sisi wachungaji, unasema umesali sana, kwani ww umeokoka?? huwezi kukemea mchawi na sauti yako ikawa na nguvu kama hujaokoka. kwa iyo kwako naona ni muda muhafaka sasa kumpa yesu maisha yako na hapo ndipo utamshinda
 

Mbona dawa ya wachawi ipo na ni rahisi sana
 
uke wenza wa siku hizi halafu wanaish nyumba moja, ni majanga. mtu huna uwezo wa kuwa na wake wawili halafu unalazimisha. wake wawili wa siku hz mpangie kila mke kwake!
 
Kwanini mawazo yako na nguvu zako usihamishie kwenye kusaka hela ?

kama unataka kumuua kweli muue ili tuwapunguze watoto wa mama mtaani
 
Dawa ya ratizio ni kulizibiti kama cyo kuliondoa changanya na zako chukua hatua

Ukitaka kuondoa mti ng'oa mizizi yake cyo matawi litachpka ukihama atakufata kwa ungo cha msingi maliza kazi
 
Umejuaje kuwa yeye mchawi?? afu saa 8 usiku uko nje unafanya nn?
 
Kama kweli uko tayar kuua ua ila usiue mtu mwingine itakuleatea kesi na kifungo, jiue wewe mwenyewe ili ukapumzike zako
 
Dogo tafuta kazi acha kumsikiliza mama yako. Mama yako anajua amezidiwa uzuri na kila kitu na mke mwenza wake sasa anatangaza mtaani kwamba bi mdogo kamfanya mzee zuzu kiuchawi, sio kweli ni mapenzi moto moto anayopewa dingi ndio mwanzo wa chuki.

HAKUNA UCHAWI TANZANIA OTHERWISE CHADEMA TUNGEROGWA........ AU NAPE ANGEMROGA LOWASA
Halafu kichwa chako kiko empty ndio maana kinapokea umbea wa kike. tafuta shughuli ya kufanya sio lazima uajiriwe
 
ushawahiwa huna utakalofanya likawa/ nenda kwa mzee WA upako akakupatie maji ya baraka na mafuta ya upako!
 
mkali wao

Ugonjwa wako wa akili ulionao usisababishe vifo kwa watu wasio na hatia. Na siku utakapomuua ujue na wewe kitanzi kinakusubiri. Mijitu inaishi kwa imani za kufikirika za uchawi kwenye karne hii!
 
Last edited by a moderator:
naona kama unaona wivu mamdogo wako kuolewa na babayako.
 
Back
Top Bottom