SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
- Thread starter
- #61
Sasa umeomba bali unampa huyo mama nguvu kwa kukosa imani...hiyo kutokjwa mvumilivu ja kutaka Mungu abadili bila wewe kuwa naa imani haisaidiii na huyo anajua unayofanya.
Hata ukiama atakufata tu
Omba na kuwa na imani ndugu yangu, sala zitajibiwa siku moja utaona na pia sala iliyo na imani kuwa unachosali kinakuwa au kitakuwa aminia.
Anza kuangalia pia vipindi vya dini kujenga imani yako hata redio sikiliza.
Usisahau kumwombea Baba yako na ndugu zako.
Sorry sijaongelea dini kizaidi sijajua wewe ni dini ipi. Jenga imani ya ushindi na kuwa Mungu ndiye atakayevunja yote hayo
Sali sali omba chochote kibaya kirudi kinapotoka
holy ghost fire fire fire
Pole
Mie napenda kuangalia vipindi vya dini najifunza mengi.
Kama una kitabu cha dini lala nacho pia shauri nduguv zako walale navyo mfano biblia
Asante sana ... nmekuelewa