MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

Wala haifanyi kazi mm naona nimeinstall whatssap web na kuifungua ila kazi haifanyiki
 
HABARI ZA JIONI WATAALAMU WA JUKWAA HILI.
njia hii imekuwepo muda mrefu sana ila haikuwa kwa lengo lililo nifanya nianzishe uzi huu.

lengo la njia hii au utundu huu ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha chat zako na kuweza kuzisoma ktk PC yako au kwa maneno mengine kuchat kwa kutumia computer.

sasa leo tuitumie njia hiyo hiyo kwa malengo tofauti na hayo niliyo taja hapo juu.

fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download app iitwayo
WhatsappWeb
2. Install ktk simu yako
3. Ifungue hiyo program
na utakutana na kitu kimeandikwa
USE whatsapp on your phone to scan the code
4. kisha chukua simu lengwa(hapa panaweza kuwa pagumu kidogo kama huna acces nayo basi hauta faniksha zoezi hili
ila fanya uwezavyo kuipata)
5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisa angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu

6. binyeza hapo utakutana na maandishi
whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehem ya ku scan code(kama umewahi pita supermarket utajua hili.

7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uiffungue italuletea hiyo cod iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi
automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.

ukifanikisha utaweza kufanya ya fuatayo bila yeye kujua

a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k

kifupi utakuwa umeimiliki wasap yake bila yeye kujua

nimeshindwa kuupload screenshots

PIA KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.
Mkuu huu ni uongo mtupu wala haifanyi kazi hata kidogo
 
Ila ukijua utajiua
a40db256aafed248ec0bb6b292b65467.jpg
 
Kujitesa tu kufatilia mawasiliano ya mtu kwanza si vzuri, mi mtu wangu nikigundua kanifanyia huo ujinga basi navunja mahusiano.

KUNA HAJA GANI YA KUHOFIA MPENZI WAKO SIYO MWAMINIFU ILHALI KILA UCHAO MNADANGANYANA NI WEWE TU KAMA HUWEZI KUKAA NA MMOJA NA KUAMINIKA NI BORA UKAWEKA WAZI KWAMBA TUKO WENGI KULIKO KUDANGANYANA. BINAFSI NI LAZIMA NICHUNGUZE MKE/MPENZI KAMA ANASIFA ANAZONIAMINISHA KWA SABABU PENZI LA NJE LIKIKOLEA KUNA UWEZEKANO UKAUAWA ILI MKE/MUME AWE HURU SIYO MAMBO MEPESI KAMA UNAVYODHANI WATU WENGI WAMEPOTEZ MAISHA KWA UJINGA HUO WA KUSEMA SIWEZI KUMCHUNGUZA MKE AU MUME KUMBE KUJATAHAMAKI WAMELISHWA SUMU.
 
Back
Top Bottom