Maunda Zorro we miss you

Maunda Zorro we miss you

Hapo umepatia kwa maana hata mimi huwa napenda muziki mzuri na maua hunipatia kila mara ila naona kama karidhika kuwa mwanamuziki wa tuzo na audio zaid kwa maana amekuwa underground kwa kipind kirefu yaani ni zaid ya miaka minne

from niamini ft chid benz,crazy ft fa,sijiwezi,mahaba to this love ft ben pol.......ila maunda nae yupo vizuri maana nyimbo zake huwa timeless
Sure mkuu..Uenda pia hayuko karibu na wadau..Kwani anasimamiwa na nani huyu?
 
poa flora, nikishuka kwenye boda nitakupm
IMG-20160116-WA0006.jpg




nakungoja hapa unipm
 
Wengine si nyimbo zao huandikiwa wao waimbe kwa makubaliano fulani ya kimdomo, na baada ya hapo mtu masharti na vigezo humshinda
kuandikiwa nyimbo ni kitu cha kawaida ,mfano babyface kwaandikia nyimbo jamaa wengi sana wakiwemo boyz 2 men
 
...wallah dunia haiishagi vituko!..yani mtu ana mkomwe kama chimpanzee,lishingo ka pira la mav.i afu eti anakandia miguu ya mwenzie!
...kweli nyani haoni kundule!
 
...wallah dunia haiishagi vituko!..yani mtu ana mkomwe kama chimpanzee,lishingo ka pira la mav.i afu eti anakandia miguu ya mwenzie!
...kweli nyani haoni kundule!
Hahahahaaaaa umetisha
 
Hakuna utani hapo, huo ndio ukweli uliotukuka, Jay Dee Kapigiwa sana promo, lakini Maunda Zorro ni habari nyingine mkuu
Sisemi kuwa Maunda hana talent. Na ni kweli kuwa JD kafanyiwa promo. Still kusema Maunda ana uwezo kuliko JD ni ludicrous.
 
Huyu dada jaman...tuanzishe hashtags kule instagram labda ikitrend atarudi tena kwa game
 
NONE OF UR BIZZ KWANI HUO MZIKI AMEIMBAJE KWENDRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA KAKOJOE ULALE HETA NDO UCHAFU GANI MALIZA HOME WORK NYAMBAFU WEWE KAMA JITU LINAIMBA UCHI LISIAMBIWE MAMAMAE ZAKO
Khaaaa... We Flora, alikua anatania tu jamani.. Doh
 
...wallah dunia haiishagi vituko!..yani mtu ana mkomwe kama chimpanzee,lishingo ka pira la mav.i afu eti anakandia miguu ya mwenzie!
...kweli nyani haoni kundule!
Hahahaha hahaha hahahaha ndo nini umesema hapa?!, unawashwa ww au unasaka Kiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom