Maunda Zorro we miss you

Maunda Zorro we miss you

Maunda kapotea coz alijitumbukiza kwenye madawa ya kulevya,
So sad! Niliwahi kumuona mahali daaah! Kama kibibi Wallah!.
 
Last Activity:
19 minutes ago
Joined:
Sep 22, 2015
Messages:
80
Likes Received:
5
Trophy Points:
8




HUYU SI WA SHULE HUYU NDOOOOOOROBO KABISA
Huku sio facebook wala insta heshima yako hupimwa na kauli zako mama tumia lugha nzuri tu haukuwa na sababu ya matusi
 
Kwa upande wangu jide yupo level ya juu sana.


Nimeanza kumsikia Jide tangu kaanza kuimba na wafanyakazi wenzie wa Clouds Radio kwa msiba wa Nyerere, baada ya hapo akatoa single yake mwenyewe. Mimi kama walivyokuwa kwa watu wa Dar wengi nilifurahia na nilisapoti muziki wake tangu mwanzo. Naheshimu juhudi zake binafsi kama Jide, lakini kiukweli kapigiwa Sana promo kuliko kawaida. Kumfananisha Jide na Maunda Zorro ni kuivunjia heshima tasnia
ya muziki. Maunda ni habari nyingine. Maunda ni open singer anayeweza kucheza na sauti yake kwenye njia ambazo Jide hats alale macho maisha yake yote hawezi kupita. Usifananishe talent na promo.
 
'Mapenzi ya wawili' Huo wimbo mpaka leo nausikiliza. Ni mzuri sana....unazama mpaka moyoni. Nyakati sijui zimeenda wapi.... Nakumbuka kalipokuwa jitegemee, kembamba kazuri kazuri.
Kisa wewe maskini, wala huwezi kuwa nami
Marafiki wanahoji kwamba wee utanipa nini
Jibu lao ni moja, kwamba nahitaji penzi
Bila shaka ni la dhati, lisije leta mauti. .....
 
Kisa wewe maskini, wala huwezi kuwa nami
Marafiki wanahoji kwamba wee utanipa nini
Jibu lao ni moja, kwamba nahitaji penzi
Bila shaka ni la dhati, lisije leta mauti. .....
Nafurahi kuwa nawe
Hilo nataka uelewe
Kwamba mapenzi ni ya wawili....

Wewe kwangu ndio mfalme
Nifanye niwe kwako wako malkia
Kwa penzi lako naahidi kukutumikia....

Dah....that melody....
 
Nafurahi kuwa nawe
Hilo nataka uelewe
Kwamba mapenzi ni ya wawili....

Wewe kwangu ndio mfalme
Nifanye niwe kwako wako malkia
Kwa penzi lako naahidi kukutumikia....

Dah....that melody....
Daah sijui atarudi tena maskini
 
Yaani mleta mada kama vile tuna ubongo mmoja maana tangu jumamosi nilikuwa nikijiuliza hivi huyu mwanamziki yuko wapi? Kweli duniani tupo wawiliwawili
 
Yap alikuwa anajua sana kuimba, zile nyimbo zake mbili 'Mapenzi ya wawili', na 'Niwe wako' ni extraordinary
 
Yap alikuwa anajua sana kuimba, zile nyimbo zake mbili 'Mapenzi ya wawili', na 'Niwe wako' ni extraordinary
Daah nimeamini kumbe bado tupo wengi tuliommisi maunda zorro..,....basi kama anasikia au anapitaga uku jamii forum ajaribu kutafakari we need her
 
Daah nimeamini kumbe bado tupo wengi tuliommisi maunda zorro..,....basi kama anasikia au anapitaga uku jamii forum ajaribu kutafakari we need her

Nataka niwe waaaako....Nifanye niwe waaaako, mpenziii!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom