Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Na jamaa ameshindwa kuliona hilo kwa sababu ya "mapenzi"
Hii kitu hii??????????
Si ndio maana nilikwambia bora ulivyokuwa baba Paroko tu
haya mambo tuachie wenyewe!!!!!!!!
Na jamaa ameshindwa kuliona hilo kwa sababu ya "mapenzi"
Hii kitu hii??????????
Hahaaa msichana wako she is very tricky aliijua kosa linaweza kua lake lakin kageuza kibao kuwa humwamini
na ukiongea nae tu atakuwa anakublame kuwa siku hizi huniamini!!!!!!!bla bla kibao.............
Ye unajua kakusevuje kwenye sim yake!!!!!!!!!!!!!!
Si ndio maana nilikwambia bora ulivyokuwa baba Paroko tu
haya mambo tuachie wenyewe!!!!!!!!
nina malengo naye mazuri sana kwani yeye anahitimu chuo mwakani sasa nikawa nikaamua kumlipia fremu ili atakapo maliza awe na kazi ya kufanya
Baba paroko Siku ile ishu yetu ikitiki nitaomba tuweke time frame mambo ya kukaa miaka
6 sitaki kabisaaa
Hahaaa msichana
wako she is very tricky aliijua kosa linaweza kua lake lakin kageuza
kibao kuwa humwamini
na ukiongea nae tu atakuwa anakublame kuwa siku hizi huniamini!!!!!!!bla
bla kibao.............
Ye unajua kakusevuje kwenye sim yake!!!!!!!!!!!!!!
Tobaaaaa!!!!!
Mkuu Heaven on Earth, wasi wasi wangu atakua hajasave jina la jamaa, ili simu ikiita akiwa na one love anamwambia "baby namba ngeni hua cpendi kupokea" then anaikacha..............
nataka kulewa -Diamond
Hahaaa msichana
wako she is very tricky aliijua kosa linaweza kua lake lakin kageuza
kibao kuwa humwamini
na ukiongea nae tu atakuwa anakublame kuwa siku hizi huniamini!!!!!!!bla
bla kibao.............
Ye unajua kakusevuje kwenye sim yake!!!!!!!!!!!!!!
Bora nilivyokuwa au nilivyo baba paroko?..lol!
^^
Yuko sahihi...Miaka minne mnasubiri kupaa mbinguni
^^
Hahaaaaa I cant imagine hiyo kitu...........
naweza kujongea hayo maeneo tulewe wote.............maana jua lilivyo kali leo
^^Ha haaaaa uwiiii,leo umeamua kunichekesha
^^
Mapenzi ya vyuo vikuu bado mnayategemea??
Be brave man..utaumia Mara mia upate aliyemaliza chuo kuliko aliyeko huko au anaenda huko.
WATU NA AKILI ZAO WALISHALIA WAKATULIA
^^
Pole shukuru Mungu amekuanyesha kuwa unashare na one love, huyo one love anaweza kuwa buzi au anasubiri amuombe awe mkewe kwa hiyo yeye ana balane na wewe umechelewa kwa miaka ya siku hizi mchumba wa miaka mingi mmmmmhhhh mambo ni kuwahi.
Ila sasa inaonekana wewe ni namba mbili maana ameona aondoke kwa njia ya kuwa haumuamini ila kaenda kuongea na one love ili asikasirike na kakuacha wewe bila kujali unafikiria nini au kukupoza usiwaze hivyo.
ok kinachofata na wewe anza kuangalia mbele, ukitaka kuju yukoje na wewe basi acha kumpa pesa kama unampa, na mwambie kutokana na yeye kuondoka siku ile basi hautaki tena.
kama anakupenda kweli atakulilia sana na kuomba msamaha na kubadili tabia hiyo ya kijinga haraka sana utaona utofauti, ila angalie asibadilike kama unamsaidiaga hili na lile bado eka pozi ili akiona hakiji tena utaona reaction yake na utajua.
Ila kwa mie mtu uwe 2nd no no no.
hivi hiyo mchumba umeshamvalisha hata hiyo pete? anaivaa au ni uchumba wa kutambulishana?
nina malengo naye mazuri sana kwani yeye anahitimu chuo mwakani sasa nikawa nikaamua kumlipia fremu ili atakapo maliza awe na kazi ya kufanya