maumivu

Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,424
503
ndugu wanajf jana yamenipata kile kilio cha wengi Usaliti, nina mchumba ambaye nimedumu naye kwa miaka 4 sasa,jana mida kama saa 8 mchana ivi nilimpigia simu aje mahala ili tuongee kidogo,
Kweli akafika ile tumekaa mara simu yake ikaita jina One Love hakuipokea ile namba ikapiga tena!!nikamuuliza vipi mbona hupokei simu yako? hakunijibu akanyanyuka na kuondoka huku ananiambia NAONA HUNIAMINI!!
Niko njia panda nahici maumivu ya moyo
 
Khaaaaaa.......hiyo sababu yakuondokea kwa one love!!!!!
Maumivu yakizidi muone daktar au kunywa pain killers kama panadol etc!!!?!
 
Boy! Poor Boy! We are in the 20something era! The era of technology! The era of truth and transparency!!!!!!!! There were times of speculation, the dark times, but they are gone now!

All you had to do was PICK THAT PHONE FOR HER!!!!!!!! Or at least crame that number!!!!!!! But you had neither the balls nor the guts to do any of that! SAD! You might have lost a golden opportunity but its not the end of the world! Relax!

What you gotta do now is get someone to get you that NUMBER! Its the key to whatever truth there is! I t cant be hard task, coz you know her sneaky friends dont you!?

UNLESS YOU GET THAT NUMBER WHATEVER YOU DO WILL BE BASED ON A MERE SPECULATION HENCE STU.PID!!!!!! Find proof first! Find the number!
 
ndugu wanajf jana yamenipata kile kilio cha wengi Usaliti, nina mchumba ambaye nimedumu naye kwa miaka 4 sasa,jana mida kama saa 8 mchana ivi nilimpigia simu aje mahala ili tuongee kidogo,
Kweli akafika ile tumekaa mara simu yake ikaita jina One Love hakuipokea ile namba ikapiga tena!!nikamuuliza vipi mbona hupokei simu yako? hakunijibu akanyanyuka na kuondoka huku ananiambia NAONA HUNIAMINI!!
Niko njia panda nahici maumivu ya moyo

Maumivu yameanza kisha yataisha
Yakishaisha tumia akili kufikiri

Ukipata jibu lifuate!
 
kiongozi yeye yuko chuo mi mfanyabiashara pia nasoma masomo ya iOPEN UNIVERSITY

^^
Mapenzi ya vyuo vikuu bado mnayategemea??
Be brave man..utaumia Mara mia upate aliyemaliza chuo kuliko aliyeko huko au anaenda huko.
WATU NA AKILI ZAO WALISHALIA WAKATULIA
^^
 
Pole shukuru Mungu amekuanyesha kuwa unashare na one love, huyo one love anaweza kuwa buzi au anasubiri amuombe awe mkewe kwa hiyo yeye ana balane na wewe umechelewa kwa miaka ya siku hizi mchumba wa miaka mingi mmmmmhhhh mambo ni kuwahi.

Ila sasa inaonekana wewe ni namba mbili maana ameona aondoke kwa njia ya kuwa haumuamini ila kaenda kuongea na one love ili asikasirike na kakuacha wewe bila kujali unafikiria nini au kukupoza usiwaze hivyo.

ok kinachofata na wewe anza kuangalia mbele, ukitaka kuju yukoje na wewe basi acha kumpa pesa kama unampa, na mwambie kutokana na yeye kuondoka siku ile basi hautaki tena.

kama anakupenda kweli atakulilia sana na kuomba msamaha na kubadili tabia hiyo ya kijinga haraka sana utaona utofauti, ila angalie asibadilike kama unamsaidiaga hili na lile bado eka pozi ili akiona hakiji tena utaona reaction yake na utajua.

Ila kwa mie mtu uwe 2nd no no no.

hivi hiyo mchumba umeshamvalisha hata hiyo pete? anaivaa au ni uchumba wa kutambulishana?
 
Hahaaa msichana wako she is very tricky aliijua kosa linaweza kua lake lakin kageuza kibao kuwa humwamini

na ukiongea nae tu atakuwa anakublame kuwa siku hizi huniamini!!!!!!!bla bla kibao.............

Ye unajua kakusevuje kwenye sim yake!!!!!!!!!!!!!!
 
^^
sometimes timeframe inatakiwa....mambo mengi hutokea ikikosekana committment ikiwemo mistrust
^^

Hii inawezekana
Lakini ni kwa wale wasiojua wanachokihitaji

Kama shida yako ni ndoa kwanini usiseme hadi umuache mtu kijinga namna hii?
Kama alikua anaogopa matokeo ya kusema hitaji lake amepata wapi ujasiri wa kufanya alichokifanya?
 
Hahaaa msichana wako she is very tricky aliijua kosa linaweza kua lake lakin kageuza kibao kuwa humwamini

na ukiongea nae tu atakuwa anakublame kuwa siku hizi huniamini!!!!!!!bla bla kibao.............

Ye unajua kakusevuje kwenye sim yake!!!!!!!!!!!!!!

Na jamaa ameshindwa kuliona hilo kwa sababu ya "mapenzi"
Hii kitu hii??????????
 
nina malengo naye mazuri sana kwani yeye anahitimu chuo mwakani sasa nikawa nikaamua kumlipia fremu ili atakapo maliza awe na kazi ya kufanya
 
Back
Top Bottom