hili swali la msingi sana mkuu, ila sidhani kama kuna mwenye majibu sahihi
Hivi uchumba una time frame?
Hivi uchumba una time frame?
Khaaaaaa.......hiyo sababu yakuondokea kwa one love!!!!!
Maumivu yakizidi muone daktar au kunywa pain killers kama panadol etc!!!?!
ndugu wanajf jana yamenipata kile kilio cha wengi Usaliti, nina mchumba ambaye nimedumu naye kwa miaka 4 sasa,jana mida kama saa 8 mchana ivi nilimpigia simu aje mahala ili tuongee kidogo,
Kweli akafika ile tumekaa mara simu yake ikaita jina One Love hakuipokea ile namba ikapiga tena!!nikamuuliza vipi mbona hupokei simu yako? hakunijibu akanyanyuka na kuondoka huku ananiambia NAONA HUNIAMINI!!
Niko njia panda nahici maumivu ya moyo
Chezea one love wewe
Chezea one love wewe
sifahamu alafu huwa cigusi simu yake madhara yake nayajua
Hapana chezea kabisaaa one love.....