Maumivu ya tumbo la uzazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya tumbo la uzazi

Discussion in 'JF Doctor' started by MKANDAHARI, Feb 29, 2012.

 1. MKANDAHARI

  MKANDAHARI JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
  Jaman hawa nao wamezidi sasa!! kila kukicha afadhali ya jana!! waungwana nina demu wangu kiukweli ananipenda sana! hivi juzi kati ameanza kuumwa na tumbo sana! nkawa nawaambia machizi wangu kuhusu hili tatizo la kuumwa na tumbo kila saa! wakaniambia maybe mamsapu atakuwa ashawahi kutoa mimba!! kukutana na mamsapu wangu nkawa namkomalia aniambie ni kwa sababu zipi tumbo lake la uzazi limuume daily?? hakutaka kuniambia ukweli kuhusu kma kweli aliwahi kutoa mimba au la! je wadau, huu ushauri wa rafiki zangu kuwa demu wangu atakuwa kafanya kutoa mimba ni kweli?? naombeni ushauri wakubwa! nifanyeje??
   
 2. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  mkuu magonjwa mengi huambata na maumivu ya tumbo.especially yale ambayo ni chronic mgonjwa atakuwa anapata maumivu mara kwa mara. chamsingi aende hospitali akachukue vipimo kujua ni tatizo gani. ungemuliza tumbo linauma sehemu gani? ni kweli utoaji mimba unasabisha tumbo kuuma lakini je yeye amekuambia alishatoa? kama ni hapana basi mushauri mkapime na muonanane na dactari
   
 3. MKANDAHARI

  MKANDAHARI JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
  daaaaaaaaaah! wakuu muda si mrefu baada ya ku-post hii kitu nimetoka kugombana nae kiukweli kaniambia kuwa ashatoa mimbaaaaaa! nikataka nim-betue nkamwonea huruma coz kabla ya kuniambia ukweli kaanza na apology nyingi nikam-promise sitamfanyia chochote kibaya!!! sasa wakuu nifanyeje na maji yashamwagika?? KAKA NDOKEJI nakuaminiaaaaaa!!!
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ungekuwa unamweleleo wa kulea mimba yako asingeitoa
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Weeh nae umezidi! Kha!
   
 6. Ngorunde

  Ngorunde JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 1,128
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Ni yule yule anayetoa harufu mbaya ukeni.....au mwingine!!??
   
 7. ram

  ram JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,224
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu ana mademu wangapi?

   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mbona unatuzingua? unaenjoy wanawake hapa
   
 9. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaazi kweelii kwelii !!!!!!!!!!!!!!

  Jamaa demu wake kila maradhi anaumwa yeye. Labda hataki kumpa unyumba njemba ana fanya kama vidonge vya hosp. Saa zote yupo attention.
   
 10. MKANDAHARI

  MKANDAHARI JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
  Jamani e, sio kila m2 anae-post tatizo la kiafya hapa JF ndo kwamba linamhusu au la! yaweza kuwa ni ndugu jamaa au rafiki yake ndo amefikwa na jambo hili! ila kwa vile huwa sisi ni ndugu, 2nayachukuwa matatizo hayo na kuya-present mbele ya wataalamu ili yapatiwe ufumbuzi! sioni sababu ya kunifikiria vibaya mimi! naweza kuchukua tatizo la m2 na kuliwasilisha hapa kma vile ni langu lakini sivyo coz sio wa2 wote wanaweza kuingia kwenye mtandao kama wewe/sisi! NAOMBA HILO LIELEWEKE!!!!!!
   
Loading...