Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

endelea nae tu hayo ni maneno hata kwenye kanga yapo, kama anatabia mbaya utaijua tu kadri unavyozid kukaa nae.
 
dah, hii ni ngumu 'kumesa' for an average man.... halafu inategemea na aina ya 'suluba' aliyokuwa akipatiwa pia.... kama alikuwa analiwa mtandao fulani, uvumilivu utahitaji nguvu ya ziada

Hahahhaha cartura bana. Nimecheka sana lhaaa
 
Last edited by a moderator:
Sasaivi nafsi imekubali na nimeshasahau


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hivi mpaka ukubali kupiga picha za utupu inakuwaje? Hata kama ni mke/mume picha ni za nini? Mkitalikiana sasa mnaanza kudhalilishana. Mambo ya vyumbani ni faragha, hivi kwenu hakuna makuzi?
 
kaka usjali fanya kumuliza au peleleza ni lini picha ilipigwa na lini umekuw naye kama picha ilipigwa mwezi uliopita alaf we mwez huu ukawa naye jua hamna love apo. Ni sycological problem imemfanya awe na wewe so anamuda atakuacha tu. Alaf kingine uskubali kuwa naye sabab ni kuwa atakuwa ashafanya mara nyingi juu ya izo picha sema we umekuja kujua leo sasa je usiyoyajua juu yake ni mengi so. Lakini kama utaamua kujenga naye uhusiano tumia hii kauli there is no future on the past ila ni hatari kuw naye skushaur.
 
maamuzi unayo mwenyewe.. ila kua makini na huyo dada.. ilikuaje akakubali kupigwa picha akigegedwa? alikua anajua hataachwa? mm nahisi yeye na huyo x wake akili zinafanana, angekua najiheshim asingepiga hizo picha
 
Kweli nimeamini watu hawasomi huu uzi wa kitaaambooo na hata jamaa kashasema amekubali matokeo na ameshasahau but watu wanachangia kama uzi wa jana na hata comment za mleta uzi hawajasoma kha??? Tujifunze kuwa tunasoma kwanza kabla ya kuchangia wajameni toka 2011 jana 2013 jamaa kasema ameshasahau mweee tusome kwanza
 
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
Kama hukumkuta akiwa bikra, basi juwa alishagegedwa na mwingine, hivyo basi kutumiwa picha au sms haibadirishi kitu. Na kwa miaka hii ya leo kumpata bikra ni nadra sana. Kwa we mwenyewe hujawahi kugegeda kabla ya kukutana na huyo? Kimsingi huyo anayekutumia picha inamuuma wewe kuwa na huyo mdada.
 
hivi mademu waliotulia wameisha mpaka uahngaike na wacheza mikanda ya mara?? mimi naona wewe ulito ngozewa huyo demu hakika kidudu mtu :target: anakunyemelea nyatu nyatu.
 
Back
Top Bottom