Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,883
Reaction score
2,786
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
 
mkuu ilo lisikuumize jua hapo huyo jamaa anampenda sana demu ndiyo maana anamharibia ili warudiane usikubali wivu wakutengenezwa uchukue nafasi katika akili yako.forget da past jenga future.
 
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
picha ziko wapi kaka angu zilete kwa jamvi tuzione tukushauri!
 
Muda gani tangu kuanzana nae?Hizo msg na picha mtumaji unamfahamu?ama amejuaje contacts zako?
 
Mahusiano hayo.............kila siku unasikia kipya.

Tumia akili kuliko nguvu....sawa kaka, utapata majibu sahihi.
LD wapi wewe?? Ulipotea sana my dear, welcome back jamvini.......I hope everything is alright.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Ndg, wadada na wakaka ambao mnawatafuta au kuwachumbia kwa sasa walishawahi kuwa na watu huko zamani. Kwa hiyo kitu hiyo walifanya labda tofauti ni kuwa hawakupiga hizo picha za utupu wakiwa kwenye hilo zoezi! Kikubwa ni kukaa na huyo mwenzio na kumshauri awe muwazi na huyo x wake na pengine kujuwa ni nini kilichowatenganisha.
Inavyoonyesha ni kuwa huyo x wake ameumia kuona kuwa wewe umempata la aziz wake wa zamani hivyo anatafuta namna ya kukufanya umchukie hiyo binti uliyempata ili acapitalize kwenye ugomvi wenu
Lakini pia uwe mwangalifu maana huyo binti naye kama haeleweki hivi, maana kwa akili za kawaida sidhani kama ni busara kupiga picha za namna hiyo katika ulimwengu huu wa sasa.
 
Kama kweli unampenda basi utaendelea naye ila usipge nae picha wakati unamkandamiza sawa?
 
duh , kumbe ndo kwanza umempata na inawezekana hujamfahamu au hamjafahamiana zaidi, jaribu kuwa nae karibu uangalie zaidi tabia na mienendo yake ikoje ...
 
si ni ex wake, asikupe hofu. Kosa alofanya ex wako ni kupiga picha. Ila ni past achana nayo. Huyo ex ana wivu anamtaka mpenzio, usimsikilize
 
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?

Hukumkuta bikra na hizo ni picha tu. Kitendo cha huyo jamaa kukutumia picha ni kutaka kukuudhi na kumharibia huyo binti. Kama kweli unampenda basi hizo picha zichane tu au zidelete kisha muendelee na penzi lenu. Nina hakika hatafurahia kuona bado mko pamoja.
 
mkuu....ngumu iyo...
 
Usiogope dogo, we endeleza mzuka, mpenzi wako kama anatabia mbaya utamuona tu!!
 
Back
Top Bottom