Maumivu ya mtoki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya mtoki

Discussion in 'JF Doctor' started by Joyceline, May 27, 2010.

 1. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  habari zenu wapendwa

  Nina mdogo wangu anaumwa sana mtoki tangu juzi, hana kidonda wala infection yoyote.
  akienda hospital doctor anamwambia anywe dawa za maumivu tu na hazimsaidii.
  Ila kuna mtu kaniambia kwamba mawazo makali sana pia yanasababisha mtoki tena ambayo umeyawaza masaa matatu kabla ya kuanza kuumwa, naomba mwenye uelewa aniambie na anayejua tiba.
   
 2. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  umri wake,sehemu ulipo huo mtoki,jinsia yake.
   
 3. f

  frog New Member

  #3
  Jan 15, 2014
  Joined: Jan 14, 2014
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman mdogo wangu anakauvimbe kati ya paja na nyonga upande wa kulia kanavimba halafu baada ya muda kanapotea kakiambatana na maumivu nilimpeleka hospital akaambiwa ni mtoki
  amekunya flucamox na ampliclox lakin bado hakaishi ameipiga ultrasound hawajaona kitu akapewa dawa tena lakini bado kanauma na kupotea anapata maumivu hadi kwenye kitovu ikiambatana na gesi pamoja na tumbo kuunguruma. tunaomba msaada wana jf maana ni mwezi mmoja na nusu sasa anapata shida
   
 4. KIDOLEGUMBA

  KIDOLEGUMBA JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2014
  Joined: Apr 17, 2013
  Messages: 503
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mpeleke muhimbili (kama mpo dar es salaam) pale mtapata jibu tu!
   
 5. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2014
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama hajafanyiwa kipimo cha kaswende(RPR) ,jaribuni kufanya hivyo.
   
 6. ABDUL JIRANI

  ABDUL JIRANI Senior Member

  #6
  Feb 5, 2015
  Joined: Jul 20, 2013
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauliza kuwa kuna uhusiano gan kati ya kuwa na kidonda mahali fulan mwilini hasa miguuni na kutokwa nauvimbe maeneo ya joint za mapaja na kiuno (mtoki)
  Naomba msaada wenu
   
Loading...