nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 287
- 227
Mliowahi kuoa wanawake halafu mkaja kugundua uko mbeleni kwamba ujanani mwake alishatoa mimba kadhaa, mna deal vipi ya hiyo depression? Mimi inanitesa sana, alishakiri na kuomba msamaha na mimi nikamsamehe lakini nimeshindwa kutoa haya maumivu moyoni kwangu kabisa.
Naombeni msaada
N. B Mke wangu bado nampenda sana, ila namuona ni mnyama.
Naombeni msaada
N. B Mke wangu bado nampenda sana, ila namuona ni mnyama.