Alafu we nakumaindi kishenzi.
Alafu we nakumaindi kishenzi.
Ila naogopa huwenda ukawa kurumbembe,au gubegube,au ukawa shangingi la kijitonyama
Nakusalimia mzima?
Yani ungepata bahat ukanijua hakika utajiuliza mara 100 ni Demiss au G.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naisbiri kwa hamu bahati hiyo zaidi ya mkuu anavyoisubiri ndege uwanjani.
Naisubiri kwa hamu bahati hiyo zaidi ya bahati inavyosubiri kubahatishwa.
Naisubiri kwa hamu bahati hiyo zaidi kubahatishwa kunavyoisubiri bahati.
Naomba njia za kuipata bahati hiyo......
Huyu haondoki kwenye maaraka! Muda utaongea!Mwana Jf soma hiyo
Maumivu ya kuachwa kwa kawaida yanachukua miezi 11 au mwaka mzima....
Kama ukiendelea kuuumia basi utakua na matatizo ya akili muone daktari
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha yana mambo mengi sana ya msingi.
Aah kabisa, eti mwaka mzima like serious!!!
Aah kabisa, eti mwaka mzima like serious!!!
Labda kama kuna la maana sana aliwahi kunifanyia.Aiseeeh sema labda itokeee nimkumbuke mara moja sana tu kwambaa alikuwa mpnz wangu alafu mm mtu nikishaachana naye siwezi kurud kwake hata iweje
Sent using Jamii Forums mobile app