Maumivu ya Jino!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya Jino!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Mbu, Sep 18, 2008.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Hivi, jino 'linajuaje' usiku umeingia, unataka kulala ndipo nalo linapoanza kuuma?

  View attachment 2457

  Hapalaliki!!!
   
 2. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  nafikiri linahisi kwamba all other muscles are relaxed na its zamu yake kusikika ... lingoe tu ... weka ya plastic kama ya mbele ... dont forget that otherwise tutakukimbia
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  :D

  ...Dentures? aaah, yaani na umri huu wakati wa kulala 'nayatoa' meno bandia naweka kwenye gilasi? no way, nitaendelea kutafuna karafuu mpaka kieleweke.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tatizo letu wengi tunasubiri mpaka meno yaume ndio twende kwa daktari inatakiwa kila miezi sita au ikishindikana hata mwaka mara 1 yakaangaliwe na vitobo vidogo vikionekana vinazibwa kabla havijawa mapango.Matatizo ya fizi au kasoro zingine pia zinaweza kuonekana na kutatuliwa mapema.
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...majukumu yanazidiana, school fees za watoto, mlo nyumbani, wazee kijijini, ndugu alolazwa, mjane na watoto wa marehemu kaka, usafiri, nk... unless unatibiwa na kampuni, gharama ya matibabu ya meno mnh!

  ...ubaya mwingine mchana kutwa Jino haliumi. Unakwenda mpaka kwa Dentist, ukiwa kwenye foleni hata hujui lipi linalouma, yote yamepoa!, ...unajionea aah, acha nirudi home, usiku ndio ngoma!

  :(
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  You should always find the time as bad dental health has recently been found to contribute to heart problems as the blood and bacteria enter you blood system.
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Ooh MyGod!

  1st thing tomorrow morning nakwenda kulitibu!

  Thanks for your advice, though scarry :( !!!
   
 8. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Kweli mchongoma ni ajabu lakini ndio ukweli niliwahi kuwa na jino bovu limetoboka mchana natwanga menu kama kawa lakini ikifika night mazee mnh!! unasikia linavuta...Kuna siku night kali nilitoa chozi mbele ya ma-wife kwa maumivu. asubuhi mwenyewe kiguu na njia muhimbili nikamaliza udhia kwa kung'oa kabisa maana nilishauriwa nizibe nikaona mnh!!!
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...LOL :D duuuh! Kipanga, nimeangua kicheko hapa japo najua masaa machache yajayo nitarudi kule kule kama usiku wa jana, kwenye maumivu makali!

  Tatizo hapa nilipo wanang'ang'ania kuziba tu, I wish ningekuwa Bongo... madaktari wa Bongo ukimwambia "ng'oa!", anang'oa! Hii ziba ziba mnnh,...
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Sep 18, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Subiri tu litakapo omba urafiki na ujirani mwema na meno mengine ndo utajuwa nini maana ya kwenda kwa daktari. Otherwise endelea tu na kula vya sukari na kutosafisha meno vizuri. Nakutakia usiku mzuri wenye maumivu. Mpaka utapoamua kwenda kulishughulikia kwa bwana mganga wa meno.
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160


  :D

  Xpaster ...kwani unadhani sababu hizo tu pekee? meno yana vichochoro utadhani njia za panya. Hata baada ya matumizi ya Dental floss na Listerines, kuna dakitari aliyejaribu kuning'oa molar likaishia kipande kuvunjikia ndani... meno yenyewe haya ya kibantu, tena baada ya kunyonya titi la mama miaka miwili kamili simlaumu sana dakitari.

  Anyway, thanks kwa dua yako, maumivu ndio yanapiga hodi hapa,

  Kumekucha!
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Pole kaka na mumivu...Ila meno ya kibantu yamekuzwa natural kaka, si kama meno ya watoto wa chupa na artificial milk... u must be proud of ur self...!
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Yes indeed!

  hatukubahatika kuwekewa 'braces' huko udogoni kuyaunganisha meno yanayokimbiana kinywani. i'm just back from my dentist.

  Guess what!, juu ya kuyagonga gonga yote, sikuhisi maumivu, hivyo kutokujua lipi linalouma!!! strange! ...The infection might be in the gum.

  anyway, naanza dose ya Amoxicillin.
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Duh! Pole sana mkuu na ongera kwa kuwa na meno imara yasiyopata kutu...! Anyway ila kuwa makini usije ambiwa kuwa fidhi zako hazifai na zinatakiwa kuondolewa na kubakishwa meno bila ufidhi...! Maana sometime madentisti nao mmh!

  Nakutakia uponaji wa haraka ndugu yangu...! Yaani Geti Weli Suni. Si nemethema kiingrishi kuonesha mthisitizo?
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  :D:D:D

  ...we acha tu, sasa ni mwendo mdundo, kuchonga makali ya pilau ya Eid el fitr panapo majaaliwa, si unajua tena siku hiyo mialiko hapa na pale...!

  thx bro, leo na afueni kweli!
   
Loading...