maumivu ni sehemu ya majifunzo

maumivu ni sehemu ya majifunzo

GazetiHuru

Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
37
Reaction score
12
ukilala katika kitanda ambacho kimezungukwa na moshi mzito wa koroboi huku mbu wengi wakipiga kellele na kukuuma huku upepo mkali ukivuma kupitia dirisha lililo zuia na kipande kuukuu cha khanga huku moyo wako ukikuuma kwa woga baada ya kujihakikishia kuwa mlango wa nyumba yako ulojengwa kwa tende/matete unakaribia kuanguka huku paa lako la nyasi likivuja na kukufanya ujibanze kwenye kona na huko konani ukuta unaomong'onyoka sababu nyumba ni ya udongo. ukizingatia hii ni karne ya 21 karne ya sayansi na teklonojia ..ama hakika ukipata dakika moja tu ya utulivu UTAFANYA MAAMUZI MAGUMU NA SAHIHI YA KUITOSA CCM NA KUCHAGUA MABADILIKO#LOWASA

BY GWES2015
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom